Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Hahah Shem Judgement, kapata mkunaji!lol...bt siriazly SS wangu sio mbaya kiivo tulilelewa vyema!
Wewe beibe nasty, si asubuhi umelalamika wawashwa wewe...afu unampotezea shem inakuaje!??
Wao! Wao! Wao!
Hehe-he- yya!
Weraweraa!
Nilikwambia haipiti wiki ntakunasa?
Mazimaa mwenyewe unazama kunako 18 za Judgement!
Nani uliyemsikia akinadi wastara anaumbuka?
Bt kiutu uzima maadam nshakunasa nakupotezea , nakuacha ukijua najua nshakujua kiuulaiiynii, kama naondoa utando wa juu wa yai vile.
Last edited by a moderator: