ungefanya nin?[based on the true story]

Nimemuona sana!
Bt refar her Id ndo maana sikuhitaji ku'respond !
Then sikustushwa na tangazo lake la nia , kwakua hapa kwetu ndoa ya Mwanamke kwa Mwanamke haijakubalika !
That's why am remained calmy!

Umejuaje lovee jaman?
 
Dah, hiyo ishu yao ni srious na inaumiza sana not kichwa tu, hasa moyo, Mi naomba mshauri huyo binti asahau kwanza habari kuhusi Baba yake now, yaani familia nzima wajisahaulishe kuhusu huyo mtu kwanza, asizungumziwe sana ili wawe bize na maisha yao zaidi, Binti awe makini kwenye masomo yake, akishakaa poa kabisa ajitahidi kutafuta whereabout za Baba yake kimya kimya, kwa internet, kwa kuwasiliana na ofisi mbali mbali za South Africa baada ya kuwapa details zake, Balozi wa Tz South Africa, anaweza angalau kupata uhakika na kujua kuhusu alipo Baba yake, na ikiwezekana kama ana uwezo wa kifedha na Baba yake huko aliko still yuko alive amfuate, amrudishe home kama vipi, but now awe makini na masomo yake na katika kuboresha maisha yake, apunguze mawazo ya huzuni aliyonayo ili yasimtetereshe kwenye maisha yake, awe strong, afight kama soldier, soldier wa ukweli, hapo walipofikia tayari ni pakubwa, wajue Mungu yuko pamoja nao always, na wamuombee Baba yao pia
 
Tears tears tears darlin thank u for ur advice iwill do dat to help
 
Nimemuona sana!
Bt refar her Id ndo maana sikuhitaji ku'respond !
Then sikustushwa na tangazo lake la nia , kwakua hapa kwetu ndoa ya Mwanamke kwa Mwanamke haijakubalika !
That's why am remained calmy!

Hahahahahahaha.. Judgement me ni mwanaume rijali kabisa....! duh

afu beibe nasty si tuongee tu wawili lazima unsemee??! Mi kweli nmekupenda..i fell some connection with you and I know, given the chance I will make u happier than u are now! Gimme th chance babe...n u wont regret :busu
 
Last edited by a moderator:

Huo mbusu hadi utanikata shavuu mmmmh sitaki my jg where are jamn uwiii
 
Last edited by a moderator:
Umejuaje lovee jaman?

Hun , mbona miondoko yake iko open ?
Huyo ni Bidada, na mahesabu yake hapa ni kun'tega mie !
(yaani anajilengesha kwangu)
namie hanipati ng'oo !
Mjeledi wangu siugawi kama seat ya Dalaldala !
Utaliwa na mtu maalumu.
Si eti eeh Swirry ?
 
Thanks pia, ofisi ya Balozi wa Tz SA inaweza kumsaidia wakipewa details za Baba yao, watoe details za Baba yao, namba ya simu aliyokuwa anatumia, maelezo ya ni wapi hasa alikuwa anawaambia anaishi, alikuwa anafanya shughuli gani huko, aliwnda na nani huko, pia wawape picha ya Baba yao hiyo ofisi ili waweze kumtafuta kwa urahisi, jina lake kamili na details nyingine muhimu ili wampate au wapate taarifa zake kamili, that ofisi wanaweza kupeleleza that namba ya simu na kujua ilikuwa ya nani na alipiga kutoka eneo gani, I hope enzi hizo ilikuwa ni ya mezani tu, then wakienda hilo eneo na picha yake, wakazi wa eneo hilo, hiyo mitaa wanaweza kuwapa taarifa zake, kuna relative wangu mmoja alishapatikana kutokana na details alizokuwa anaipa familia yake, kuna kiongozi fulani ambaye familia yake ilikuwa inamfahamu alienda SA kwa shughuli zake lakini pia alifuatilia ishu ya yule kijana kama familia yake ilivyomwomba, alifanikiwa kumpata though alikuwa kifungoni tayari, jela, Good Lucky!
Tears tears tears darlin thank u for ur advice iwill do dat to help
 
Siku hizi mambo ya utandawazi!, si ngumu sana kutafutana, tofauti na enzi zile za Mtemi Mirambo!
 
Hehe. Judgement..kidogo unimeze.
Smol sis...u got a protective man ryt zea....
Bwana shemeji...pole kwa usumbufu.
I remain,
Mentor - the bb.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom