beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Kimsingi ni kwamba hapaswi kumchukia baba yake hata kidogo kwani baba hakuwahi onesha element za chuki kwake ama familia nzima (kwa mujibu wa ulivosema kuwa alikuwa baba mzuri). So mdada amtafte kwa kadri awezavyo kama ni kutangaza katika media ma mitandao ya kijamii ili ampate baba yake.....BTW beibe nasty mic uuuuuu
inauma kiukweli...lakini pia haina haja ya kumchukia kwani backgrounds zake ni swafii...sote hatujui kapatwa na nini huko SA!...NI KUMUOMBA MUNGU NA KUFANYA MBINU MBALIMBALI ZA KUMPATA...(Sio mtaalamu ktk hili)
It is worth it kumuombea na kuendelea kumtafuta, Inshaallah Mungu atafanya njia pasipo na njia.
Pengine nae ana matatizo huko alipo. Ila mkimpata na hana tatizo, pandisha vioo fasta!
Nasty!
Iwe iwavyo mtoto kwa maana ya mtoto, hana/hapaswi na pia HAIKUBALIKI kutoa JUDGEMENT against her/his parents whatever!
Note , mzazi anaweza mkosea mwanae kwa moja ama jingine, bt wa kuhukumu kosa la mzazi awe Baba au Mama si mtoto! Hukumu hiyo huachiwa Mungu , incase muhusika ni mwenye kuamini Mungu yupo.
Kwa asie amini Mungu (simsemei kwani sijui utaratibu wao)
Nilipata kwazwa sana na R.I.P Kanumba kuacha wills ya kumhukumu Baba yake!
Na hiyo ilinifanya nipate some minor elements kuamini inavyosemwa kua celebrity yule alikua Freemason.
Lets hope soonapita tu.. stry inauzunisha nsije toa choz asubuhi asubuhi hivi.!! hope wewe sio mlengwa hapa beibe nasty
huna haja ya kumchukia.....
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na chuki.......
Hata kama baba kapata binti wa kizulu...
Ila duniani kuna mengi, mna uhakika huyo baba mzima?
Au kawekwa ndani? South kuna mengi..........
Msihukumu kabla hamjajua nini kimempata
Imekukwaza ama? Halafu kila thread ambayo ipo hapa unahis hii ni sehemu yake husika? N besides iwanted an opinion on the case nt where to place this thread. Sorry kwakukwazika we mwali weSasa hii story si ingehamishwa MMU?
Kwanini amchukie baba yake wakati hajui yuko katika hali gani?
Waweza kutwa kafungwa gerezani na hana namna...
So ni bora aongeze maombi coz kama angekuwa na hali nzuri angesharudi nchini kukaa na familia yake...!
Amwombee tu kokote aliko awe salama ili siku moja amwone tena.
Sawa shemitoAmina shem wangu
Haya vp mzima weyeeSawa shemito