ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,720
- 43,856
Naomba connection mkuu hizo ni changamoto za kazi hazikosekani kwenye kazi popote
NB dunia tunapita we unataka ukae hapa milele?
NB dunia tunapita we unataka ukae hapa milele?
Jibu swaliUsifanye huu ujinga kamwe ni hatari kwa afya yako
Hapa bongo kuna unga mchafu wenyewe haupo bali kuna makapi wanayokula mateja tuJibu swali
Yeah hakuna namna mkuu.Ni kujitosa tu au sio.
Wale wadungaji mishipa mwilini huisha huanza kudunga ya kwenye mboo nayo ikiisha humalizia ya kwenye pumbu na ndo the end. Sasa kwa sijajua kwa mwanamke inakuwaje.Hatuwezi elewana, yaan alikuwa ana hali mbaya mno . Ile yaani apate hata harufu tu anuse aisee haya mambo yanatisha sana
Kwamba Manji alikua anakula makapi? ThubutuHapa bongo kuna unga mchafu wenyewe haupo bali kuna makapi wanayokula mateja tu
Huko siwezi kamwe, bora nilime bangi hapahapa home 😄😁Yeah hakuna namna mkuu.
Ikitokea nafasi chap najiunga, ila ndiyo hivyo watoto tulio nje ya mfumo tunaishia kusikia juu juu tu ila kupata nafasi ngumu
So usikubali kubeba mzigo mdogo utachomwa 😄"Aliyebeba mzigo mdogo anachomwa ili wenye mzigo mkubwa wapite bila shida"
Mbaya sana hii dah
Somewhere nilikutana na jamaa porojo nyiiingi anasema kuna mzigo wa kutoa Tunduma kupeleka Namanga, kasema nitapewa 500k kama nauli n.kKuna mzigo wa kupeleka China uko tayari?
Aiseeee! Basi huenda ni kama huyo niliyemuona mimi. Maana hata kutembea alikuwa hawezi anasweat vibaya mnoWale wadungaji mishipa mwilini huisha huanza kudunga ya kwenye mboo nayo ikiisha humalizia ya kwenye pumbu na ndo the end. Sasa kwa sijajua kwa mwanamke inakuwaje.
Hapo ni sawa na kusema hauli nyama ya kuku ila unakunywa mchuzi wakeHuko siwezi kamwe, bora nilime bangi hapahapa home 😄😁
Kuna less na lesser mkuu.Hapo ni sawa na kusema hauli nyama ya kuku ila unakunywa mchuzi wake
Yeah ndo raha yake.Aiseeee! Basi huenda ni kama huyo niliyemuona mimi. Maana hata kutembea alikuwa hawezi anasweat vibaya mno