Undumilakuwili wa JF Members

Kunawakati huwa nakaribia kuamini ule Moshi wa mwenge unaweza kuwa na madhara kwa binaadam aisee .

Wakuu hivi nikweli watu wazima wenye uboo wetu timamu tunaweza kusimama hadharani nakusema wale ndugu zetu waliuwawa kutokana na kushawishiwa na wanaharakati?

Hii maana yake ni nini?

Yaani tufikie hatua ya kukubali kuwa makondoo (docile)?yaani ifike mahali hili Taifa leendeshwe kwa hisani ya fikra za wanaccm ,sindiyo?

Yaani mwandishi siyo tu hujaonyesha kusikitishwa na kilichofanywa na CCM juu ya kutoa oda ya kuua watu lakini bado anaendelea kusistiza kuwa nikosa kubwa tena zito mno kukosoa vinginevyo tutaingia kwenye mikono isiyo na huruma na hakutakuwa na wakumlalamikia .

Hii nikama kusema ameipa haki CCM kuua na kuwafanyia chochote watanzania hasa pale tu watakapokuwa wanazitumia haki zao za kikatiba .

Mbona tunakwenda kuwa mataifa lenye wapumbavu wengi sana aisee
 
Jibu hoja kwa hoja, kwenye uzi huo huo.

Kuna watu wanaamini katika maandamano ya violence. Hiyo ndiyo falsafa yao.

Kama huamini hicho, jenga joja zako, katika uzi huo huo, tuchambue hoja zote.

Sasa mtu kaja na violenve zake uzi hatuuoni, unakuja kumshambulia huku hata hayupo, tutajuaje nani ana hoja za msingi bila ya huyo mtu kuwapo hapa na yeye ajibu?
 
aluta kontinyua,
Kama raia wema na wazalendo kwa taifa, Tutailinda amni ya nchi yetu kwa nguvu na wivu mkubwa sana, na kwakweli kwa gharama yoyote ile.

Mungu Ibariki Tanzania,
well done gentleman
 
uko sahihi gentleman,
kuwakomboa vijana kifikra ni jambo muhimu na la maana zaid hasa wakati huu pengine kuliko wakati mwingine wowote.

ni muhimu kujitolea kufanya hivyo bila kuchoka,
setbacks ziwe fursa ya kujiimarisha zaidi na kufanya vyema zaidi kazi hiyo muhimu ya kumkomboa kijana kifikra.

be blessed kwa koment mujarabu sana hiyo
 
Nyie chawa viazi mabogus pumpikin heads mbona raia wasio na hatia walivyouwawa kikatiili
Mlikuwa mnakenua meno humu mkimsifu bi chura na dola yake?

Watoto wetu wafe mlitaka tukae kimya?

Nyie pimbi viazi..
Kama tulikaa kimya kwanini nyinyi hamkukemea?

Tumekuja na movement tokomeza kuwatumia vijana mnatuita machawa
 
Watu wenye busara zenu kumbe mpo sana
 
Ni mpumbavu pekee anayedhania mtu anaehitaji amani itawale nchini mwake anafaidika kwa elfu Saba...wewe na ufukara wako nikuulize pakitokea machafuko hapa una uwezo kwa kukodi private plane ikuchukue wewe na familia yako muende ulaya mkaishi...
Unagonga mule mule kichwani kama unaua nyoka vile
 
Samahani mkuu,nje ya mada. Hivi hii 'kwa wivu mkubwa' inakuwaje? Nasoma sana ila sielewi maana yake nini.
Sina uwakika kama uko serious na swali lako hope unafurahisha jukwaa

Inamaanisha tusiruhusu amani yetu ipotee au kuondoka kwahiyo tuipe umuhimu sana
 
Asante sana kwa maoni yako mazuri
 
Kwa kuwa instagram na X kuna hitaji namba ya simu, wote wamekimbia huko sababu wanajua unaweza ukajichanganya ukafungua habari ya uzushi kumbe ni mtego wa IP logger, halafu wanakufikia.
Anaetukana tukana huko ujue hayuko bongo, jichanganye ujifanye na wewe unajua yakayokukuta

Kwahiyo matusi yote yamehamia humu JF sababu ni anonymous, huo sasa ni ufisi wa hali ya juu
 

Safari hii tutasambaratisha Wadudu wote wanaoruka na kutambaa
 
Jukwaa hili limefungiwa na serikali yako ila ulivyo kiazi kutwa kucha upo hapa kuitetea serikali haramu iliyofungia hili jukwaa unalolitumia kuisifu serikali haramu. Sijui tukuitaje?
Hatupo kwa ajili ya serikali tupo hapa kwa ajili ya our people
 
Jukwaa hili limefungiwa na serikali yako ila ulivyo kiazi kutwa kucha upo hapa kuitetea serikali haramu iliyofungia hili jukwaa unalolitumia kuisifu serikali haramu. Sijui tukuitaje?


Hii JF sisi ndo tunaifanya iweze kuwepo na sio Serikali .

Kwahiyo msitegemee kupata huruma lazima tusambaratishe wadudu wote wanaoruka na kutambaa .

To ignore this is to ignore the decent future of our country
 
Kwaio njia pekee ni kutoka barabarani na kuchoma nyumba za watu, kuchoma magari, kuchoma biashara za watu, kuiba, kutaka kupindua serikali, kuiba ATM machines, kuchoma ofisi za serikali ..na wewe jibu bila mihemko...
Wakikujibu nitag
 
Hii JF sisi ndo tunaifanya iweze kuwepo na sio Serikali .

Kwahiyo msitegemee kupata huruma lazima tusambaratishe wadudu wote wanaoruka na kutambaa .

To ignore this is to ignore the decent future of our country
Dude you have come back jf at the right time ,big up sana unajua jinsi ya kuwanyoosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…