Understand that speacial lady you have fallen for....

Understand that speacial lady you have fallen for....

Finished reading . . . . . Thanx ADI
 
Age 18-25 wanawake wanakuwa juu vibaya, ukiwa na inferiority huwezi kuwasemesha kabisa kwao kila kitu wanadeserve. Hapo wanaume wa hiyo gae wanahangaika na life na jinsi ya kuwapata. Maana stori hazipandi maana mwanamke masimulizi yake ni ndoto tu kama na boifriend yupo ulaya, ana gari ana simu kali na ana kazi poa. Akifika 26 anatambua mwanaume ni yupi ndipo hapo anaanza hundting hata wewe aliyekusahahu anaanza kukutafuta wakati umri huo wanaume kichwa kikubwa ndio ameanza kuwa stable kimaisha. Sasa basi kwa kuwa wanaume wengi wanakosa vitu fresh wakati wao wakiwa na umri kati ya 18-25 ndipo anaanza kufikiri kuwa wahitaji pesa na ndoto nyingi ili kumpata binti mdogo, ndipo afikapo umri wa 40 mwanaume anarudi kwenye miaka 18 na mwanamke anakuwa mtu mzima na mama wa nyumbani. Wanawake mjitahidi kuwaeleimisha wadogo zenu maana wanaingia kwenye ndoa na vidonda walivyopata kati ya miaka 18-25 kwa kuishi maisha ya kufikirika. Ni mtazamo tu nawasilisha.

Niimependa saana post yako for it seems you are a man (kama siio natanguliza msamaha....)
Ina a rich thou brief insight ambayo ni muhimu saaana kama vijana wangekua wanazingatia...
Knowing these things, husaidia saana na kurahisisha maamuzi na hata kumuelewa ulie nae..
Umeongea in direct relation na mwanaume... it is really good...

Thank you for sharing.....:A S-rose:
 
Yeah though not real but this will be my great chance to see the reality and meaning of love
Thank you and you are warmly welcome to advice, challenge

You are welcome Dear....:A S-rose:
 
Aiseeee
Nilikuwa sijaoina hii . . . . maana ndio haswaaaaaa ninaokutana nao kila kona.
Ngoja niisome na kuitafakari vizuri na nilichokiona kwa rika hili.
Ashadii my woman, take me a note.
Usii - edit chochote hapa mpaka nimalize kusoma

ha ha ha....

At your service CPU...
 
Mkuu huwezi kuw ana copy right of the copyright
I have the original cooyright from the author

Haya mkuu, mi sisemi sana.
We ngoja tu ushikwe unaitumia hii post sehemu ndo utaelewa ninachosema.
 
Haya mkuu, mi sisemi sana.
We ngoja tu ushikwe unaitumia hii post sehemu ndo utaelewa ninachosema.

Wewe ndo utakuwa umenifitini maana najua toka mwanzo kuw anina haki miliki sasa sijui wewe umetoka dunia ya ngapi kuharibu hapo
 
Nimeipenda topic, kwa mwanaume ambae yuko serious atajua pa kuendea.
 
Weekend njema... Hii thread ni nzuri sana ngoja nipate shule hapa kwanza lol....!! Ila tatizo hapo kwenye age range yangu (26-32) wanadada wengi ubongo ukiingia mafuta ya taa inakuwa shida kuwatuliza wanataka glamorous life kama ya kina Beyonce et al.
ztc9kx.jpg

Niliwapata hawa love birds mwaka jana nikawaomba ruhusa ya kuwafotoa.​
 
...........lol............lol............lol...........

Eqlypz really?? me lolest.... Ngoja nicheke kwanza..... so very funny....
Then will be back with the comment.... Dah!
 
Haya basi... Seriously i envy your line of work and your passion... It is beautiful

About hio age Eqlypz kuhusu hio age umeweka... the way you present your self ndiio
hivyo atataka siku zoote umchukulie... you can not expect her to look glamorous in
a Beyonce kind of way and expect her to be cheap at spending... you will be lost...

If you want a glamorous lady she at least has to be in a younger version of
Michelle Obama kind of way... at least she is logical, and works with what is at hand...

Out of curiosity... what are they doing?? lol as if binti ana propose bana...
 
...........lol............lol............lol...........

Eqlypz really?? me lolest.... Ngoja nicheke kwanza..... so very funny....
Then will be back with the comment.... Dah!
Usicheke ni kweli most of the girls I date waliokuwa 20-25 walikuwa wanataka high life (you know the usual stylish clothes, designer handbags, diamonds and partying week in week out) alafu at the end of the day they want you to take them home to meet your mama -chuckle- bila kusahau wanarushia hint ya ndoa kitu ambacho mimi sikitaki.
 
Leo naona umeamua nicheke tu....

Observe the above post... i think nimejibu kuhusiana na expenses....lol...
 
Nimechelewa kutoa comments zangu, jukwaa la siasa mambo ya magamba yaliniteka kwa siku kadhaa. Kama kawaida nakushukuru sana Ashadii kwa useful, educated and well researched post, sina shaka experience yako kwa wadada wa rika hizi na matendo yao ni kubwa! Ashadii tuliposema tumekumisi tulimaanisha tumemiss mambo haya, honest umenifumbua mambo mengi sana, nimetambua mengi kupitia post hii. 25-29 age cohort ndio tatizo langu, kweli tabia za wadada wengi kweli wa rika hili zimekua tatizo, hawa ni wachache sana wenye mapenzi ya kweli, ni wajanja wajanja, wapenda starehe na anasa nyingi, wanapendeza kimavazi na muonekano na wametekwa sana na mapenzi ya pesa. Wendi wao hutoka na wanaume aged 40-55 years, hujenge dharau kwetu sie vijana etc. Hebu nambie, kwa nin hawa wapo hivi?
 
Gagurito hili jukwaa umekua adimu.... au sababu labda sikuwepo...
Nimependa insight ulotoa katika post yako na ninashukuru kama umeona
kua imekufaa... Hujachelewa kwa kweli, ilishapita siku nyiingi ila kuna jamaa
akaipenda na ku comment...

Kuhusu swali lako....

Wanaume wengi wana mtindo wa kuruka toka sketi hii kwenda ile
au hata kuzichanganya sababu kama wanavyosema, ujana maji moto..
Sasa basi hiio age ya wanaume uloweka hapo wapo very caring na wanajua
kubembeleza, kutunza na the best class ya kuchuna, na hio age ya wadada ndio
wachunaji wazuri....
 
Gagurito hili jukwaa umekua adimu.... au sababu labda sikuwepo...Nimependa insight ulotoa katika post yako na ninashukuru kama umeonakua imekufaa... Hujachelewa kwa kweli, ilishapita siku nyiingi ila kuna jamaaakaipenda na ku comment...Kuhusu swali lako....Wanaume wengi wana mtindo wa kuruka toka sketi hii kwenda ileau hata kuzichanganya sababu kama wanavyosema, ujana maji moto..Sasa basi hiio age ya wanaume uloweka hapo wapo very caring na wanajuakubembeleza, kutunza na the best class ya kuchuna, na hio age ya wadada ndiowachunaji wazuri....
Thanx Ashadii, tupo pamoja!
 
Gagurito hili jukwaa umekua adimu.... au sababu labda sikuwepo...
Nimependa insight ulotoa katika post yako na ninashukuru kama umeona
kua imekufaa... Hujachelewa kwa kweli, ilishapita siku nyiingi ila kuna jamaa
akaipenda na ku comment...

Kuhusu swali lako....

Wanaume wengi wana mtindo wa kuruka toka sketi hii kwenda ile
au hata kuzichanganya sababu kama wanavyosema, ujana maji moto..
Sasa basi hiio age ya wanaume uloweka hapo wapo very caring na wanajua
kubembeleza, kutunza na the best class ya kuchuna, na hio age ya wadada ndio
wachunaji wazuri....

Umejibu vizuri, Lakini mimi nilidhani ulikuwa una lengo la kufanya urekebishaji na kusema kuwa hizo tabia ni ugonjwa na aliye nazo basi anahitaji msaada wa kutibiwa. Kwa huo umri wanaume ni wana ndoa means wanacheat na wadada wa umri huo ndio muda wa kuolewa hivyo wanakosa kupata wenzi wa uhakika hivyo watafanya zimamoto. Nimeshakwambia kama tungekuwa tunakuwa pamoja wanawake na wanaume basi huu ugonjwa ungeisha, nilisema awali kuwa umri huo wanaume wanajijenga kimaisha hivyo walokosa wanawake wa aina hiyo wakati wa umri wao 20-30 kwa kuwa walikuwa hawana kitu hivyo hamu yao ilikuwa bado. JE TUHITIMISHE KWA KUSEMA SINGLE MOTHERS ARE REAPING THEIR FRUITS BY BEING RECKLESS AT TIME OF SOWING?. ''very hars coment sorry''
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom