<br><br>Umejibu vizuri, Lakini mimi nilidhani ulikuwa una lengo la kufanya urekebishaji na kusema kuwa hizo tabia ni ugonjwa na aliye nazo basi anahitaji msaada wa kutibiwa. Kwa huo umri wanaume ni wana ndoa means wanacheat na wadada wa umri huo ndio muda wa kuolewa hivyo wanakosa kupata wenzi wa uhakika hivyo watafanya zimamoto. Nimeshakwambia kama tungekuwa tunakuwa pamoja wanawake na wanaume basi huu ugonjwa ungeisha, nilisema awali kuwa umri huo wanaume wanajijenga kimaisha hivyo walokosa wanawake wa aina hiyo wakati wa umri wao 20-30 kwa kuwa walikuwa hawana kitu hivyo hamu yao ilikuwa bado. JE TUHITIMISHE KWA KUSEMA SINGLE MOTHERS ARE REAPING THEIR FRUITS BY BEING RECKLESS AT TIME OF SOWING?. ''very hars coment sorry''
Kidzude nilipotoa analysis katika thread simaanishi kua na support yoote ambayo
nimeeainisha kua ni mazuri... ila tu ni kwamba huo ndio ukweli wenyewe... ukiangalia hio
post uloni quote kujibia post yako nimejibu kwa nini lakini sijasema na support... lengo hasa
kwa kweli kuhusu thread ilikua kueleza utambuzi wangu umefika wapi nipate na michango mingine...
Pamoja na kusema ni waume wa watu - bado ni wazi kua they are the considered ni best lovers
kuliko the younger men..
JE TUHITIMISHE KWA KUSEMA SINGLE MOTHERS ARE REAPING THEIR
FRUITS BY BEING RECKLESS AT TIME OF SOWING?.
I do not agree with the above statement... simply because the majority ya single mothers
ni wale young... na sababu zimepishana, from kubakwa, kurubuniwa, kudanganywa na kujitakia..
Wa kujitakia wanaingia katika your above statement, but the majority sio.... kuwaweka katika
the above statement as final would be very un fair... Na katika age ambayo wadada wanaamua tu
kuzaa ni wale ambao mara nyingi kisha vunja hope ya kuolewa tena.... for age inakua imeenda...
Hivyo na support kila ulio andika, Il