Understand that speacial lady you have fallen for....

Understand that speacial lady you have fallen for....

Well thank you Dearest... But we will have to make a truce... you can call me

your woman but i can not call you my man.... hapo ndio tatizo... and you know why...

Bora hata usingeniambia
Wivu wangu mbaya sana
Daaaah

Hata hivyo sikuachii, hata kama ni vita nitapigana tu
 
Bora hata usingeniambia
Wivu wangu mbaya sana
Daaaah

Hata hivyo sikuachii, hata kama ni vita nitapigana tu

Naamini kua nikiwa wako utataka niwe mwaminifu na wewe ndio

uwe center of my attention... na nilisha kwambia kua kama utaki ukaka

wa hiari basi kua mvumilivu mpaka nitapoachana na Sweetie.. mana huwezi jua...lol
 
Hii topiki imenifungua macho. Asante Ashadii! Hawa viumbe huwa wananipelekesha sana!
 
Masaki mpaka umri huu bado unapelekeshwa. Angalia ndugu usije pata magonjwa bure maana mwisho wake utachanganyikiwa
 
Hii topiki imenifungua macho. Asante Ashadii! Hawa viumbe huwa wananipelekesha sana!

Pole saana kaka... sio mbaya kupelekeshwa... it means you are making an effort....
 
Masaki mpaka umri huu bado unapelekeshwa. Angalia ndugu usije pata magonjwa bure maana mwisho wake utachanganyikiwa

Alafu Rocky usimcheke Masaki hali mko in the same boat...
 
Very interesting analysis................kweli wewe ni great thinker! unaweza kuja na the same thing kwa wanawake wali kwenye mahusiano kimsingi kuna vitu wanashabihiana na hawa single, just thinking aloud!
 
the only source of knowledge is experience (einstern..) thank u ashadiii for ur useful topic..
 
kaka na baba zangu... I believe this is applicable now more than ever.... Wish you Love and Luck...
 
Ehh wengne cjui tumeruka stage kwenda mbele,au tuliwahi kuanza mambo mengine sijui
bt ts a very good analysis,ukweli for the most part
 
Ehh wengne cjui tumeruka stage kwenda mbele,au tuliwahi kuanza mambo mengine sijui
bt ts a very good analysis,ukweli for the most part
badiebey hebu funguka kidogo 🙂
 
Last edited by a moderator:
thread nyingi za kipindi cha nyuma zilikua meaningful sana...kuliko saiv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom