Underestimated animal!!!

Fisi ni Calculating NA very INTELLIGENT kinyume na fikra za wengi!

Na pia yuko displined kwa kuwa kwake alway JIKe ndio mwenye heshima!
 
ana uwezo mdogo wa kutafuta mwenyewe zaidi ya kuvizia vilivyotafutwa na wanyama wenzake!!

Haha haaa mkuu, unamaanisha anapenda kuvizia kwa majirani (kubembea) ? au kuombeleza teh teh tehhh!
 
tofauti na wanyama wengine kama Twiga(air Tanzania) simba (sports Club),Tembo (cement),Mbuni(sabuni ya mche),sungura(printers),Chui(dawa ya Mbu coil),Nyati(Buffalo-hoteli) pamoja na wanyama wengine. Yeye Fisi hana brand name

Mbavu zangu jamani :faint::faint::faint:
 
Namwona kama mrembo mrembo hivi yaani hatishi kama wanyama wengine.
 
images.jpg
have a bite force of 1,000 pounds
 
ana uwezo mdogo wa kutafuta mwenyewe zaidi ya kuvizia vilivyotafutwa na wanyama wenzake!!



Mkuu labda nikueleze tu kuwa asilimia 60 ya chakula cha mnyama huyu huwa anawinda mwenyewe.hebu mtizame hapa chini


 
Last edited by a moderator:
Hapo tunaweza kujifunza kitu toka kwake,lakini bado viko vingi sana ambavyo sisi kama binadamu tunaweza kujifunza kutokana na mfumo wa maisha ya mnyama huyu.

wasukuma hudai anaweza kujitwika miguu ya mbele kichwan akatembelea miwil ya nyuma kama mtu
 
Pia sometimes anahusishwa na imani za kishirikina, nilisoma kwenye gazeti mtu alilala na ndugu yake usiku akamwona amegeuka fisi...mh!


Waulize warangi.
Huwa anatumika kwa usafiri kwa warangi ambao ni wataalam kwenye "african high technology". Nasikia msafiri huwa anapanda mgongoni halafu anakuwa ameangalia opposite direction huku ameshikilia mkia. Na ule mkia unagusishwa kwenye ti.. kwa ajili ya ku-accelerate. Lol!
 
Hivi hamjui kuwa Fisi, Tai na jamii zake ndio mabwana na mabibi afya wa porini? Ile mizoga ingekuwa hailiwi kule polini si kungekuwa na magonjwa ya miripuko i.e Kipindupindu na nduguze.

Ustaadhi kumbe na wewe unashida ya R na L

Ni Porini na si Polini na ni Milipuko na si Miripuko. Zingatia hayo marekebisho. Ni kweli hawa jamaa wanasaidia kama mabwana afya mwituni.
 
Ustaadhi kumbe na wewe unashida ya R na L

Ni Porini na si Polini na ni Milipuko na si Miripuko. Zingatia hayo marekebisho. Ni kweli hawa jamaa wanasaidia kama mabwana afya mwituni.
Unajua mkuu inawezekana ni kweli uyasemayo, kuhusu R & L... mkuu nitajitahidi, maana namimi kwa kubofya kiibodi huwa nina kasi ya 50 wps, na mara nyingi huwa siangalii na kusahihisha pare I mean pale ninapo kosea.

senki yuu veri machi mkuu, tupo pamoja.

tunaendereaa...

Ila huyu kiumbe i mean Fisi yupo veri pashienti, na hakati tamaa mapema. Yupo radhi au ladhi (dah hapa mkuu nimekwama) kufuatilia windo lake hata maili mia...!

Nakumbuka zamani nilipata kusoma kitabu kimoja, sikumbuki jina... Fisi alifuatilia mkono wa binadam, akiamini kuwa vile mkono unavyo nesa nesa unaweza kudondoka na yeye akajipatai staftahi. Matokeo yake akajikuta anaingia kijijini bila kujijua, alistukia mayowe ya wanakijiji wakizome "Fisi huyooo"
 
Waulize warangi.
Huwa anatumika kwa usafiri kwa warangi ambao ni wataalam kwenye "african high technology". Nasikia msafiri huwa anapanda mgongoni halafu anakuwa ameangalia opposite direction huku ameshikilia mkia. Na ule mkia unagusishwa kwenye ti.. kwa ajili ya ku-accelerate. Lol!



Una kesi ya kujibu huku kwa kunivunja mbavu na kicheko.....
 
Common name-spotted hyaena

Scientific name-Crocuta crocuta

Local name-nyangao a.k.a fisi

Distinctive feature- anajulikana kama bwana afya wa porini,kwani kazi yake ni kusafisha uchafu wote wa porini hususani mizoga!

Habitat-open savannahs, grasslands and in all acacia communities.

Food-an opportunistic carnivore and scavenger wherever animal waste is available. Hawa wanapenda kuwinda na kula wanyama ambao wako weak na vulnerable kama waterbuck.
 
Lakini mpaka sasa bado sijaona member yeyote anayeweza kuniambia ni nini tunaweza kujifunza kutoka kwa mnyama huyu.
 
Back
Top Bottom