Underestimated animal!!!

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,632
4,512
Unaweza kunipa sifa za mnyama huyu,na nini tunaweza kujifunza toka kwake?

hyaena1.jpg

m_013-spotted-hyena.jpg

hyena1.jpg

hyena.jpg

spotted.hyena.c01.26.2007.JZ3F2352b-700.jpg

Nakaribisha rasmi mjadala..........................
 
Hebu mtazame hapa anavyowasambaratisha simba..

Last edited by a moderator:
Pia sometimes anahusishwa na imani za kishirikina, nilisoma kwenye gazeti mtu alilala na ndugu yake usiku akamwona amegeuka fisi...mh!
 
ana uwezo mdogo wa kutafuta mwenyewe zaidi ya kuvizia vilivyotafutwa na wanyama wenzake!!
 
tofauti na wanyama wengine kama Twiga(air Tanzania) simba (sports Club),Tembo (cement),Mbuni(sabuni ya mche),sungura(printers),Chui(dawa ya Mbu coil),Nyati(Buffalo-hoteli) pamoja na wanyama wengine. Yeye Fisi hana brand name
 
Hivi hamjui kuwa Fisi, Tai na jamii zake ndio mabwana na mabibi afya wa porini? Ile mizoga ingekuwa hailiwi kule polini si kungekuwa na magonjwa ya miripuko i.e Kipindupindu na nduguze.
 
tofauti na wanyama wengine kama Twiga(air Tanzania) simba (sports Club),Tembo (cement),Mbuni(sabuni ya mche),sungura(printers),Chui(dawa ya Mbu coil),Nyati(Buffalo-hoteli) pamoja na wanyama wengine. Yeye Fisi hana brand name

Vipi pale uwanja wa fisi? si ndiyo brand yake au sio

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Back
Top Bottom