Inaonekana watu wa mikoa ya Kaskazini hawakuitaka barabbara ijengwe sasa sisi watu wa Pwani tunaomba hizo pesa ziletwe huku ili tuendeleze maeneo yetu
Kumbe hujui kuwa hii kampeini ilianzishwa na mwandishi mmoja habari hapo Mombasa kenya akatuma barua nyingi sana kwa organization mbalimbali duniani mwanzoni mwa mwaka jana. Siyo swala la commn sense na propaganda likitiliwa mkazo na unyonge na umasikini wetu. Watu Kutoka Dar kwenda Musoma au Mwanza wanatakiwa eti wapitie Nairobi.
Kama kweli wanataka kutupa hela kuzuia kuharibiwa kwa njia za wanyama basi watoe pesa hizo ili tujenge barabara hiyo juu kwa juu bila kukatisha njia za wanyama. Tunapopanga mipango yetu harafu eti tunakatazwa na sisi tunakubali kirahisi, ni ujinga na unyonge wa hali ya juu sana. Najua kuwa ingekuwa nchi nyingine labda hilo lisingetokea.
Ok ni good news, sasa wameweka option gani?
maana kulikuwana ile ya kujenga kupitia Karatu then south part of ngorongoro and serengeti kwenda mkoa wa Mara
mombasa-ukonga..kuna kama km3-6 tu hivi lakini hawataki kujenga wanan'gan'gania kwenda kujenga katikati y mbuga
safari mbili za JK zijaenga hii
Ni hoteli ya Kempiski. Mmiliki wake ni Muarabu na Kikwete kuna tetesi ni shareholder.Wakuu Kuna hoteli humo mbugani inaitwa sijui Bilila, hivi imewekezwa na kampuni ama mtu toka nchi gani?
more detail mkuu hayo madini yanapatika wapi?
na ni yepi sio wote tunajua
Mkuu mbona siwaoni wengi pale manyamanyama na hata zero zero. Wengi wanaingilia Arusha na wengine wanaingilia Gologonja tokea Kenya wanawaona wanyama wetu kisha wanarudi kulala Kenya!
data gani unazitaka? na wewe una hisa kwenye yale mahoteli?
Serengeti Watch this month obtained a copy of an environmental and social impact study on the road that was completed for Tanzania's government. The copy was leaked to the group, Blanton said.
The study found that by 2015, 400 vehicles a day will cross the section of road that cuts across the Serengeti. By 2035, the report predicts that 3,000 cars a day will use the road, Blanton said.
"If you multiply that out by 365 days a year that's a million vehicles a year, so they have clear plans for a major commercial route between Lake Victoria and the Indian Ocean," Blanton said. "I think common sense would say with that volume of traffic there is no way you could have a dirt road on top of that soil. Paving and fencing is the future. No one doubts that."!!
mkuu again umepotosha hakuna mtu anayepitia nairobi siku hizi kutoka mwanza au musoma
watu wanapia hapa hapa hii barabara ya kati tena kwa siku moja
kama huyo jamaa alituma hiyo barua alikuwa na faida gani? na ni hasara gani kenya watapaka kama hiyo barabara ikijengwa?
hata kama itapita juu magari yatawekewa kizuizi cha sauti pia?
na ghalama hizo kwa manufaa yapi?
kama wana hela wajenge barabara za Dar zinamanufaa sana kiuchumi
kumbuka mimi naongea kutoka eneo la tukio sio habari za kusikia kama wewe mara unasema watu wapita kenya kwenda DAR hii ni habari ya zamani sana eti
hata hivyo bara bara haitajengwaNa wewe tumia akili unaposoma maandishi ili uwe unayaelewa kwa mapana na marefu kuliko kukopi na kupaste tu. Hiyo paragraph uliyoweka hapo haiongei lolote kuhusu wanyama kuathirika na barabara. Nadhani linaloongelewa hapo ni tamko la serikali kuwa hawataweka lami bali wataweka changarawe; na huyo mtaalamu wako anasema kuwa ni lazima wataweka watakuja kuweka lami na fence huko mbeleni. Again hizo ni speculations tu. No proof, no Scientific conclusion