Under Pressure: Kikwete Caves in-Serengeti Road Project Scrapped! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Under Pressure: Kikwete Caves in-Serengeti Road Project Scrapped!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LINCOLINMTZA, Jun 24, 2011.

 1. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  [​IMG]


  KENYA 1 TANZANIA 0

  Stupid me ...nilifkiri watu wa mikoa ya kaskazini wana influence serikalini kumbe....

  we will regret this decision for the next 100 years

  bora tujengewe airport yetu ya kisasa bagamoyo na bandari na msilalamike

  whatever happened to OUR NATIONAL INTEREST?
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  halafu tunasema miaka 50 ya uhuru!hili suala lirudi bungeni tuone.sasa naamini kabisa rais wetu hana maamuzi ni kiranja tu.
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,501
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Una maaana Kenya wana mkono wao hapo??
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,757
  Likes Received: 4,976
  Trophy Points: 280
  ..WB na Wajerumani wamekuja na mpango mzuri zaidi.

  ..kwanza, ni njia itakayopita kusini mwa Serengeti ambayo itawafikia wananchi wengi zaidi, na haitaathiri mazingira ya Serengeti.

  ..pili, tumepewa "carrot" ya kusaidiwa ktk mpango wa barabara za vijijini ktk maeneo yanayopakana na Serengeti.

  ..halafu hii habari ya "kuwaunganisha" wananchi wa Musoma na huduma zilizoko Arusha[not vice versa] I think is very condescending dhidi ya wananchi wa Musoma. kwanini Musoma isijengwe na yenyewe kufikia hadhi ya Arusha au hata zaidi? What about an international airport, referral hospital, University ...in Musoma?
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Matatizo ya kushangilia pesa za wafadhili. Serengeti iliingizwa kwenye urithi wa dunia ili tupate mipesa ya UNESCO sasa wametubana tusichezee urithi wao!!
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Nimelia machozi na nchi yangu. Hiyo ndiyo gharama ya kuongozwa na serikali ya wapumbavu isyokuwa na priorities za kuendeleza nchi. Kweli hapa Kenya wameshinda tena; dah!! Tanzania yangu wee!!

  Hivi kweli studies hizo zimeonyesha kuwa Zebra watakuwa affected kwa namna gani? Mbona hawajatoa data zozote zaidi ya speculations tu. Kilichotokea hapa ni conjectural arguments zilizotolewa na Kenya, zikapamba moto huku sisi tukishughulika na upumbavu tu. Kutokana na ujinga wetu, Kenya wakasikilizwa, Tanzania tukafyata mkia!!
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kwanza UNESCO haijawahi kutoa fedha zozote za kuendeleza Serengeti zaidi ila magari mawili tu yaliyotolewa zamani sana, nadhani mwishoni mwa miaka ya themanini hivi
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  you dont hv even electricity in your country, wht is your NATIONAL INTEREST? road across the park?
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mkuu pamoja na kuifanya urithi wa dunia lakini hatujapata faida yoyote!
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [h=1]Serengeti road scrapped over wildlife concerns[/h][​IMG]By Richard BlackEnvironment correspondent, BBC News[​IMG]The Serengeti is a key destination for tourists in Tanzania
  Controversial plans to build a tarmac road across the Serengeti National Park have been scrapped after warnings that it could devastate wildlife.

  The Tanzanian government planned a two-lane highway across the park to connect Lake Victoria with coastal ports.
  But studies showed it could seriously affect animals such as wildebeest and zebra, whose migration is regarded as among the wonders of the natural world.
  The government confirmed the road across the park will remain gravel.
  [​IMG]The bat-eared fox is another Serengeti resident, and depends on wildebeest for much of its food
  In a letter sent to the World Heritage Centre in Paris, the Department of Natural Resources and Tourism says the 50km (30-mile) section of road across the park will "continue to be managed mainly for tourism and administrative purposes, as it is now".
  The government is considering an alternative route for a major trade highway that would run to the south of the park.
  This would avoid areas of high conservation value, and - although a longer route - would bring the opportunities afforded by a modern transport link to more people.
  Last year, a group of scientists warned that the proposed road across the park could bring the number of wildebeest in the park, estimated at about 1.3 million, down to 300,000.
  Collisions between animals and traffic would be unavoidable, they said.
  And with a corridor on either side of the road taken out of the hands of the park authorities and given to the highways agency, fencing would almost certainly result, blocking movement of the herds.
  If wildlife were damaged, they warned, that could also affect the local economy, in which tourism plays a major role.
  'Wonder of nature'The researchers described the Serengeti as "a rare and iconic example of an ecosystem driven by a large mammal migration".
  That annual north-to-south trek involves about 1.5 million animals, including wildebeest and zebra.
  [​IMG]More than a million wildebeest live in the Serengeti
  As the animals travel, they dump vast quantities of urine and dung across the land, fertilising plant growth, while the trampling of hooves also prevents bush from over-growing the grassland.
  An impact assessment compiled for the government confirmed the expected impact on migration, adding that the decline of wildebeest and zebra would have a knock-on effect on predators such as lions and cheetahs.
  These are among the animals that tourists come to see.
  Scientists also warned that the road could bring invasive plant species or unfamiliar diseases into the park, a World Heritage Site.
  Last year, the World Heritage Committee expressed its "utmost concern" about the "potentially irreversible damage" that the highway could bring.
  Environmental campaigners have welcomed the government's decision, with the organisation Serengeti Watch saying: "A battle has been won".
  However, they warned that the region faces a number of other threats, including roads around the park and poaching.  MAONI YANGU: yawezekana kenya wa mkono katika hii habari ya serengeti lakini wameingia je kwenye hii habari?


  mtoa mada katulisha matango pori yenye sumu , kawapeleka anavyotaka yeye

  musoma na mwanza kuna link nzuri sana ya mawasilino tena ya uhakika mwanza na Arusha kuna tofauti gani?

  kama ni hospitali mwanza zipo kubwa tu na karibu kuliko arusha.

  kuhusu hiyo mabarabara kuwa na madhara kwa hao wanyama hakuna haya haja ya utafiti ni comon sense kwamba kwa namna yeyote ile kuna wanyama wanapenda utulivu na mazingira yao.

  kuna watu bado wake weak sana wanaposikia kenya hao kenya wana uwezo gani wa kuwaonga WB

  hii issue WB waliitema straight bila kutafuna maneno wala kupoteza muda tujipange upya na tujiamini kenya kenya kila siku kenya


   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,757
  Likes Received: 4,976
  Trophy Points: 280
  ..tuache ushabiki wa Tanzania vs Kenya.

  ..kuna mambo ya msingi tunayoweza kushindana na Kenya na siyo hili la kuharibu mazingira na mandhari ya Serengeti.

  ..kama tunataka kuwa juu ya wa-Kenya tunapaswa kuboresha mfumo wetu wa elimu, na zaidi tuhakikishe mazingira ya uwekezaji na uzalishaji yanakuwa bora kuliko yale yaliyopo Kenya.

  ..majuzi tu, Al Jazeera wamechukua aumuzi wa kuweka makao makuu ya idhaa yao ya Kiswahili Nairobi Kenya. Tafakari.


   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  . Why are they building this road? A prime reason is to move rare minerals to the coast faster. These minerals are used in batteries for cell phones, laptops and hybrid cars. The irony is the very cars that are touted as saving our environment are ruining a far more precious one
   
 14. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mtoa mada kawapotosha watu hiyo habari na hiyo picha ya hao wakenya kachomekea ili
  kuwauza watu,
  kuna watu wanafanya mzaa na nchi kwa chuki zao binafsi au kwa kutojua mambo yanakwenda je

  kama kweli yeye alikuwa na nia nzuri kwa nini hakuweka hiyo habari hapa ila kaweka link na kuanza kuongea ya kwake

  mimi nawachukia sana watanzania kama hawa hakuna haja ya kupotosha mambo kwa ushahidi wa uongo.

  kama yeye anadhani kwamba kenya wametuibia hii habari ya BBC haikuwa na uhusiano na mada yake
   
 15. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  more detail mkuu hayo madini yanapatika wapi?
  na ni yepi sio wote tunajua
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  data gani unazitaka? na wewe una hisa kwenye yale mahoteli?
   
 17. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  >>..nina hakika wangependa kuweka Tanzania kwa sababu za JIOGRAFIA maana tuko katika kati hasa arusha lakini na huu umeme wetu wa mgao na serikali kunyanyapa wahandishi wa habari vinaweza kuwa vikwazo kwa wao kunda kenya
  baadaye hapo viongozi wetu watasema kenya wametuzunguka sisi ndio tunaongea kiswahili

  wangweka zanzibar blablabla
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145

  Comrades, let Kenyans be the winners. But, I, myself was against this plan. As long as there is an alternative acknowledgeable by most and funds have been secured for it, then let's be losers according to some of you in support of an earlier plan. And for the case of national interest, I doubt if this would have been a triumphal fight in defense of national interests before the eyes of existing many and those in the distant future.
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Badala ya kutulaumu sisi wa kaskazini, mlaumu rafiki yako aliye Magogoni. Hana back bone. But I told you guys over 2 weeks ago in the thread on Serengeti that Kikwete has bowed downed to pressure. The road will not be built.
   
 20. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Bro, despite the fact that I was against the plan; for him is Wachaga loosening the grip to let this happen...
   
Loading...