Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
I like it....!
Mbowe si alirithi?
Umekurupushwa kuja kuvuruga mjadala.Mtahangaika sana
Kwani si kweli?
Hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya kueleza historia zao ambazo kila mwanadamu hakosi historia.
Labda utuambie hizo historia zao zinaisaidia nini Tanzania?

U said it all. Sina nyongeza. Nasubiri akina FF, MS, Ritz, Mzee, Rejao waje kuchafua hali ya hewa! Maana huwa hawana hoja!!!
Hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya kueleza historia zao ambazo kila mwanadamu hakosi historia.
Labda utuambie hizo historia zao zinaisaidia nini Tanzania?
hivi we mwanamke mbona mgumu kuelewa mraisi kusahau?umeelewa kilichozungumzwa?Kwani si kweli?