Unbeaten hii maana yake Yanga siyo ya ligi hii ya NBC

lakini CAF hawaipost 😂😂😂
hiyo ni shauri yao, lakini Yanga iko kwenye database ya UN na kuna mafungu ya fedha ya UN yanakwenda Yanga, hivyo ni sawa na kusema Yanga ni mtoto wa UN iko kwenye mipango, kumbukumbu na bajeti zake sawa na Barcelona.
 
Ni upungufu wa maarifa kujisifu kuwa una rekodi bora ndani, wakati huo huo ukienda nje unapakatwa .
hata Brazil wana miaka mingi sana hawajachukua kombe la dunia lakini hiyo haimaanishi kuwa Brazil sio lolote wala chochote kwenye soka. Barcelona ni timu ya hovyo kwakuwa haifanyi vizuri kwenye soka siku hizi? Je, man u ni takataka? bro unbeaten 49 is something, haiji kwa bahatibahati tu.
 
Elewesha hao zuzu wako, unbeaten huku huna lolote kwenye mashindano ya nje?
Mkuu tuliza mshono.. hakuna haja ya kupangiana furaha kama furaha ya timu yako ni mashindano ya kimataifa basi kapambaneni mje na kombe na wale ambao furaha yao ni mashindano ya ndani basi waache wafurahie izo rekodi zao. Hakuna haja ya kupangiana furaha.
 
Mkuu tuliza mshono.. hakuna haja ya kupangiana furaha kama furaha ya timu yako ni mashindano ya kimataifa basi kapambaneni mje na kombe na wale ambao furaha yao ni mashindano ya ndani basi waache wafurahie izo rekodi zao. Hakuna haja ya kupangiana furaha.
mwambie huyu akawaambie wengine. Unicef haiwezi kujihusisha na Timu ambayo inawasha moto wa kichawi katikati ya dimba, inaamini kwenye uchawi (wapinga nyungu) badala ya sayansi (chanjo)
 
Hawa jamaa wanasema kweli au wanavutia watu ili kupata kiingilio?

 
Hii inaitwa siasa ya Mpira. Unawapumbaza mashabiki kwa Jambo Moja ili kufunika madhaifu ya Jambo Fulani lililokwama!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Hakuna jambo lolote Yanga lililokwamishwa na akina Eng. Hersi na wenzake, Yanga haikuwahi kuleta kombe la caf hapa tangu 1935, lakini Yanga haikuwahi kupata unbeaten 49 tangu 1935, Wacha watu waserebuke TU kwa unbeaten hizi hayo mengine ni majaliwa ya Mungu na mipango ya siku zijazo.
 
Back
Top Bottom