Simba haitokuja maliza top 3 kama Al hilal wataruhusiwa NBC ligi

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu

Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3
 
1710817634391.jpg

As I told you before...kuwa Yanga wali plan ku lose match Kwa Azam View attachment 2938702
 
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu

Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3
1710828441976.png

1710828496196.jpeg
 
Kama haitoki tz bara sioni likifanikiwa
 
Mchambuzi bora huelewi kwamba wale point zao zitakuwa hazihesabiwi ,,,fanya kama unauchomoa ule mwiko ulichomekewa hapo nyuma ili akili ikurudi
 
Back
Top Bottom