Kwanini mashabiki wa Yanga wanapinga vikali Al Hilal kushiriki ligi kuu ya Tanzania?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.

Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
 
Uwekwe wazi nata namna ya upatikanaji wa wachezaji wake uwekwe wazi

Ukomo wa ushiriki uweke wazi
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA UNAKUWA MPUMBAVU BILA KUJIJUA.
AUTOMATICALLY YANI.

Mfano msemaji wa Yanga aliwaambiw yanga kuwa "pale yanga Wenye akili ni wawili tu.
Mzee Kikwete na Mzee Sanday manara"
Haji manara.

Sasa Unaulizaje Hili suala na Ilhali unajua kabisa kuwa wenye akili ni wawili tu.
 
Kuihusisha hiyo timu kwenye ligi yetu ni upuuzi na pia ni uwendawazimu. Kiufupi haileti mantiki hata kidogo. Na hicho kitendo hakina manufaa yoyote yale kwenye ligi yetu. Zaidi tu kitaleta mkanganyiko mkubwa.
 
Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.

Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
Hakuna ushindani watakaongeza kwasababu point zao hazihesabiki, Al Hilal ni kama watakuwa wanacheza za kirafiki tu hakuna la maana.

Kuna vitu ambavyo wanaona upuuzi, yaani kila wikiendi timu fulani inacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal, je Al Hilal atakuwa ndiye anayewafuata hizo timu kucheza nao mechi za kirafiki au ndio timu inatoka Bukoba inasafiri kwenda Dar kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal? Usiriaz hautakuwepo kwenye mechi dhidi ya Al Hilal kwasababu hata ukifungwa au kushinda hakuna maana.
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA UNAKUWA MPUMBAVU BILA KUJIJUA.
AUTOMATICALLY YANI.

Mfano msemaji wa Yanga aliwaambiw yanga kuwa "pale yanga Wenye akili ni wawili tu.
Mzee Kikwete na Mzee Sanday manara"
Haji manara.

Sasa Unaulizaje Hili suala na Ilhali unajua kabisa kuwa wenye akili ni wawili tu.
Kumbe wewe ndio huna AKILI. Wakati Haji alipokua anasema hivyo hakuna msemaji wa UTO, alikua wa MADUNDUKA.
 
mbona mnabishana bila tafakuri ??? Kisheria na kikanuni za FIFA ,CAF na Tifutifua hicho kitu hakiwezekani.
 
Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.

Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
kwasababu mke mkubwa kolouizdad hatotoboa top3,sisi hatutaki hilo
 
Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.

Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
Inawezekana hao mashabiki unaosema wa Yanga (japo hujathibitisha kama ni wa Yanga kweli) ndio wenye akili zaidi kuliko wengi wenu fuata mkumbo.
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA UNAKUWA MPUMBAVU BILA KUJIJUA.
AUTOMATICALLY YANI.

Mfano msemaji wa Yanga aliwaambiw yanga kuwa "pale yanga Wenye akili ni wawili tu.
Mzee Kikwete na Mzee Sanday manara"
Haji manara.

Sasa Unaulizaje Hili suala na Ilhali unajua kabisa kuwa wenye akili ni wawili tu.
Yani wewe jamaa bonge la boya tena mshamba sana sasa unacomments ya nini wakati ushabikii mpira??
Kweli simba.ni.makolo hata timu yao.yote.ni mambumbu ndo maana timu imeuzwa kwa moo na.bado kuna siku moo ataweka mimba wote kwanzia mangungu,try again,hamed ally na nyie mashabiki mchwara
 
Kuihusisha hiyo timu kwenye ligi yetu ni upuuzi na pia ni uwendawazimu. Kiufupi haileti mantiki hata kidogo. Na hicho kitendo hakina manufaa yoyote yale kwenye ligi yetu. Zaidi tu kitaleta mkanganyiko mkubwa.
Tate Mkuu, unaongea kwa hasira lakini haufafanui hoja zako
Unasema ni upuuzi lakini haufafanui huo upuuzi unatokeaje
Unasema ni uwendawazimu na haufafanui huo uwendawazimu unatokeaje

Kwa wanaoona ipo faida ni Kama ifuatavyo,

1. Ni timu Bora, hivyo inaongeza ubora wa mashindano

2. Ina wachezaji Bora, wataongeza ideas za uchezaji kwa wachezaji wetu

3. Wataongeza manufaa ya kibiashara, kwa watanzania

4. Wataongeza mapato ya mechi kwa TFF, na vilabu vyetu

5. Wataongeza mapato kwa vibanda umiza

6. Watalipa Kodi, kuwaongezea mapato CCM

7. Fursa kwa dada zetu

8. Wachezaji wa TZ watapocheza kwa ukaribu na timu hii kubwa, inaongeza uwezekano wa kusajiliwa

Kwakweli zipo faida zinginezo nyingi

Swala hili lijadiliwe kwa kwa uchanya wake!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Akili zako ni sawa na hao Tff, timu inashiriki ligi kwa vigezo gani?, yaan Nbc ni ligi ya wao kufanya mazoezi kwa timu zetu?
 
Waje tu hata na Al Mareickh. Waje na points zao za CAF. Washiriki ligi kikamilifu. Tuingize CAFCL timu nne. Tuuze haki za matangazo ya mechi zao kwenye TV za Sudan etc.

Kuna fursa ya kupiga mpunga hapa.
 
Kwa wanaoona ipo faida ni Kama ifuatavyo,

1. Ni timu Bora, hivyo inaongeza ubora wa mashindano

Hakuna ubora wa mashindano utakaoongezeka kwasababu matokeo ya vs Al Hilal haitoathiri msimamo wa ligi kuu.
 
Kisapoti huu ujinga kunahitaji uwe mpumbavu poromax. Kwamba timu ije ijumuishwe kwenye ligi na point zake hazihesabiwi. Wachezaji wanaumia na timu zinapata gharama.
 
Back
Top Bottom