Unazikumbuka............? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unazikumbuka............?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by sinafungu, Sep 28, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Enzi zile kila kitu kwa foleni,
  ukimuona mtu na (bidhaa adimu) zikifahamika hivyo ni wa maana sana, enzi hizo maduka ya RTC ndiyo yenyewe ( ukiwa mfanyakazi wa RTC wewe ni muhimu kuliko pesa) vitu vinapelekwa ktk maduka ya ushirika ( kuvipata ni kwa foleni) tunapanga mawe ili kusubiria..........!! nawakumbusha vichache kama unakumbukumbu ongezea na wewe.........
  1. sabuni rumi.
  2. sabuni gardenia............ endelea
   
 2. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  umenikumbusha mbali,ukitaka kununua sukari ktk maduka ya ushirika shuruti ununue unga wa muhogo!halafu sukari kwa mgao!huwezi nunua kila siku au kila wiki!mwe tumetoka mbali!
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  viatu catalogue vilikua "telemka tuzoze"...
  kama hujafuga "Afro" basi ndio utaoneka mshamba...
  Soda zilikuwa za nadra sana, soda maarufu zilikua ni Fahari na Pepsi Cola...
  "Katambuga(viatu vya Yesu) yenye kiantena ndio ilikuwa sandle maarufu...
  Ukivaa miwani(not sun goggles) unaonekana msomi balaah!...
  Mabasi yalikuwa ni Leyland za Railway...
  Ukiandika barua lazima uanze na neno "Kwako mama, dada, kaka..." na mwisho unamalizia "Wasalamu, Ni mimi mwanao au wako katika ujenzi wa Taifa"...
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sikuwepo miaka hyo lol
   
 5. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Dah nlikuwa sijaja ulimwenguni
   
 6. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka tulikuwa tukipanga foleni kuchukua sukari kwenye magari,tulikuwa tukiyaita ugawaji..
  Nilikuwa mdogo hivyo sikujua kama ilikuwa ni bure au ilikuwa ikinunuliwa..
   
 7. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka tulikuwa tukipanga foleni kuchukua sukari kwenye magari,tulikuwa tukiyaita ugawaji..
  Nilikuwa mdogo hivyo sikujua kama ilikuwa ni bure au ilikuwa ikinunuliwa..
   
Loading...