Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nilikuwa fom slii.....
aisee...... Shkamoo dada!
Nilikuwa fom slii.....
aisee...... Shkamoo dada!
Marhabaa my little Sis.... Afu ujue nimekuvotia kuleeee!!!
destiny child bado lipo?
teh teh teh, mie nakumbuka tu uswahilini matola, dazz nundaz na wanaume, loh na nako 2 nakoDah... Hata sijui waliishia wapi?? Hata hao pia nilikuwa nawakubali kinoma!!
Hahahaha...kuimba na kukariri....acha umenikumbusha mbali maza alikuwa anachoma madaftari yangu ya nyimbo nikienda shule nikirudi nnalingine boding prep badala ya kusoma nikuandika nyimbo
Hahahaha...kuimba na kukariri....
...na ikishapita hairudi tena,lolacha kabisa ndo kuinjoy u teenage huko
NImeshapoa maana ni zamani mno,mwanamke mwenyewe sasa hivi kazeeka huyo hata hao Westlife sidhani kamaanawasikiliza.Bora angenipa tu.Pole sana mkuu....
NImeshapoa maana ni zamani mno,mwanamke mwenyewe sasa hivi kazeeka huyo hata hao Westlife sidhani kamaanawasikiliza.Bora angenipa tu.
Nalog off
sis kwani we 2001 ulikuwa umeshaingia secondary? Nisije toa shkamoo ya bure
kumbe we classmate wangumwaka huu ndo nilikuwa form one nipe heshima yangu
mwaka huu ndo nilikuwa form one nipe heshima yangu
mwaka huu ndo nilikuwa form one nipe heshima yangu
Wewe nakumbuka kabisa 2001 ulishaolewa na ulikuwa na watoto watano! Kwanini unamdanganya mke wangu Lady doctor?
mwaka huu ndo nilikuwa form one nipe heshima yangu
Hahahaa nakumbuka nilikua na counter langu la nyimbo nimelibandikaje stika za malovee,long time aisee lol!