Unayakumbukaje haya makundi?????????????????

Unayakumbukaje haya makundi?????????????????

Wametesa sana Enzi zao ni kama nyimbo zao zilifanana kwa kiasi fulani wa..enge wanajua kuimba malovee si mchezo,

End of the Road - Boys II Men acha kabisa hiyo kitu
 
Shemkwe umesahau na kale ka pafyumu kako ka Brut au wakati mwingine Innocence ulikuwa unakapulizia kwenye barua kwenda kwa nonihiooo

Ha haaaaaaa



Loooooooolest
 
Habari zenyu bhana!!!!!!!

Miaka ya nyuma hivi kulivuma makundi yafuatayo:-

1. Backstreet Boys
2. Boys II Men
3. Westlife
4. N-sync
5. Boyzone

Mie nakumbuka nilizitumia nyimbo zao kama dedication kwa wapendwa wetu... Hakuna ambaye hakuwahi kumdedicate mtu wimbo wa My Love by Westlife. Hahahaaaa...

Ila haya makundi sijui yalifia wapi??

Hebu tupia wimbo ambao ulikuwa unauzimikia katika haya makundi!!!!!!!!

Umesahau TOT,MUUNGANO MSONDO.
 
Back
Top Bottom