francismaka
Member
- Aug 27, 2010
- 10
- 8
Ulianza vizuri..sasa ulikoelekea nimeshindwa kukutofautisha na hao unaowaponda..au ndo yaleyale...kuongeza idadi ya 'post'..Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....
with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..
Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?
Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..
Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....

...kuongeza idadi ya 'post'..
Acha kutafuta umaarufu kijana kirahisi rahisi

Ungekemea wewe labda ungeeleweka zaidi....
Heri wewe umepata ujasiri wa kukemea.
Asante.
Mtumishi.
Ungekemea wewe labda ungeeleweka zaidi....
Haya kemea fasta au piga mtu BAN
Mtumishi.......... Wa kwanza huyu hapa. Piga BAN huyu mtu.Shindwaaaaaa Asprin!!!