Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
kwani unamuoa aje kuutwa kupika na kupakua???
Pamoja na hayooo
kwani unamuoa aje kuutwa kupika na kupakua???
DAH! Nimekupenda bure ukhty,kasome SURAT ANISAA KWA MAELEZO ZAIDI.
ILA naomba nije pm baadae.
inategemea sana na mke anaeletewa mwenzie ndani yukoje kama mie ili mradi naelewa ni jambo lipo katika dini yangu why mume wangu akazini nje kumbe ana uwezo wa kumuoa aoe tu namruhusu na ukiona mwanamke wa kiislam hakubali matha hii ujue dini yake mwenyewe inamshinda.
Mm ni muislam safi tena niliesoma lkn uke wenza mungu aniepushie mbali,haki ilikuwa kwa mtume tu co wkt huu
Basi ni wachache sana wanaijua dini kumbe,Nina hakika mwenye kuijua dini haendi kinyume na yalioagizwa mam
Basi ni wachache sana wanaijua dini kumbe,
Kuna mama mmoja hivi ni mshika dini na ni swala tano haswaa,
ila alikataa uke wenza katakata ati hayuko tayari mwishowe ilikuwa vurugu tu
Ustadhaa mbona unaikimbia Sunna ?!! Vijana wamekuwa wengi bila ndoa!! Madame S Patriotic mfano wako uwe wa ukweli...... ( Bidhaa asili ni adimu) noiselessly hunter SURRAT An-NISSA ina wahami walo wengi.....(wanawake) Apologise lady KUNA FORMULA ya maridhiano bhana....... (usijali gharama)Mm ni muislam safi tena niliesoma lkn uke wenza mungu aniepushie mbali,haki ilikuwa kwa mtume tu co wkt huu
Ustadhaa mbona unaikimbia Sunna ?!! Vijana wamekuwa wengi bila ndoa!! Madame S Patriotic mfano wako uwe wa ukweli...... ( Bidhaa asili ni adimu) noiselessly hunter SURRAT An-NISSA ina wahami walo wengi.....(wanawake) Apologise lady KUNA FORMULA ya maridhiano bhana....... (usijali gharama)
Mnusuru Sunna wee !!!asante ukhy miss yah sana
Mnusuru Sunna wee !!!
Baada ya utafiti na uchambuzi kadhaa.. nimegundwa Mathnaa, wa thulathaa, wa Rubaa kuwa haileti STRESS !!! Yenye kuleta masaiybu ni kuegemelea MONEY ($$$) yaani ukiBase kila jambo ni money!!a ha ha haa unamaanisha nini tena hahahahaha
baada ya utafiti na uchambuzi kadhaa.. nimegundwa Mathnaa, wa thulathaa, wa Rubaa kuwa haileti STRESS !!! Yenye kuleta masaiybu ni kuegemelea MONEY ($$$) yaani ukiBase kila jambo ni money!!
Ushababi........yes nimekuelewa sana tu umeona enh mathna wa thulathaa kaka fanya hima uongeze mke
Ushababi........
Hata wazee wa zamani walikuwa wanaoa mitala na kuacha wake zao wajilishe wenyewe. Siku hizi hela madada mnazo kwa hiyo haki yenu ni dushe tu. Hivi hizi taarifa za sensa kuwa female ni wengi ni za kweli.? Kwa watoto kweli ni mtihani
Ustadhaa mbona unaikimbia Sunna ?!! Vijana wamekuwa wengi bila ndoa!! Madame S Patriotic mfano wako uwe wa ukweli...... ( Bidhaa asili ni adimu) noiselessly hunter SURRAT An-NISSA ina wahami walo wengi.....(wanawake) Apologise lady KUNA FORMULA ya maridhiano bhana....... (usijali gharama)
Mpendwa AL, acha bhanaa .. kama mahitaji,gharama yako yanatimia na unatunzwa vilivyo... shida ipo wapi hapo ?!!