Unawezaje kumudu wake wawili?

Unawezaje kumudu wake wawili?

Nonsense ni mtu wa kizazi hiki kufikilia kuwa na wake wawili wakati watu wanafikilia kwenda sayari za mbaaaali,shame on u

Shame on me 😕 hahhha jambo usilolijua no sawa na usiku wa Giza pole Sana.
 
Shame on me 😕 hahhha jambo usilolijua no sawa na usiku wa Giza pole Sana.

Ni aibu kwa mtu mwe ufahamu mkubwa,kutumia akili kubwa kujibu jambo la zama za kale za mawe,pole kwa kuwa kinyumba cha pili cha mtu,endelea kujifariji kuwa kuna raha huko,maana hata mashetani kuwa motoni hujifariji kuwa ni raha,
 
Uadilifu tu Ndio utaleta utulivu katika mitala....
 
Ni aibu kwa mtu mwe ufahamu mkubwa,kutumia akili kubwa kujibu jambo la zama za kale za mawe,pole kwa kuwa kinyumba cha pili cha mtu,endelea kujifariji kuwa kuna raha huko,maana hata mashetani kuwa motoni hujifariji kuwa ni raha,

How beautiful is to stay silent when someone expect u to be enraged!!
 
Kweli, hawa kaka zetu hili swala hawaliwezi kwanza sababu ni wavivu, wenzao waarabu na wapemba ndio wanaweza kumudu hata wake 4. hawa weusi mangala hawa, waachane kabisa hiyo habari, maana mke mmoja tu anawatoa kamasi.

Ngoja nikupe experiance yangu. Naweza kuwa nimelala na Asha jana na kupiga bao mbili au tatu. Kesho yake kama nitalala na Asha kitanda kimoja nakuwa sina hamu nae tena labda mpaka ipite siku tena. Sasa Itokee nimelala na demu mwingine tuseme Sofia yaani napiga mzigo kama nina njaa ya mwezi mzima.
 
Hujanielewa, sijasema uvivu wa kungonoka nimemaanisha uvivu wa kutafuta pesa ili kuwatimizia mahitaji wake wawili na watoto 10, maswala ya ngono nyie mnapenda misifa na nguvu mbili ila kutafuta pesa ni ziroooooo.
 
my dear mathna wathalatha wa'arba'a wawili tu umeingiajoto wanne utmudu

back to topic iko hivi mume ndie mpangaji zam wake hukubaliana au kuridhia na lile aliloleta mume mbele ake. ktk upangai huo wa zam lazma haqqi iwe sawa bin sawiya viginevyo kesho kwa Allah ana jukumu kubwa unaweza kudumu nawake hata wanne ts very simple. ni ngumu sana kwa wake kukubaliana ila haitakua namani na ndoa yako kama utafanya siri kuhusu ndoa yako mpya mana itakua ngum kupanga zamu.
DAH! Nimekupenda bure ukhty,kasome SURAT ANISAA KWA MAELEZO ZAIDI.
ILA naomba nije pm baadae.
 
Hujanielewa, sijasema uvivu wa kungonoka nimemaanisha uvivu wa kutafuta pesa ili kuwatimizia mahitaji wake wawili na watoto 10, maswala ya ngono nyie mnapenda misifa na nguvu mbili ila kutafuta pesa ni ziroooooo.

Hata wazee wa zamani walikuwa wanaoa mitala na kuacha wake zao wajilishe wenyewe. Siku hizi hela madada mnazo kwa hiyo haki yenu ni dushe tu. Hivi hizi taarifa za sensa kuwa female ni wengi ni za kweli.? Kwa watoto kweli ni mtihani
 
Wazee walikuwa na mashamba au mifugo hivo wamama walikuwa wazalishaji mali, nyie wasikuhizi mna suruari tuu bado mnataka mlelewe, kama wanawake wanaolewa kwaajili ya kufuata kibamia chako mbona hamuishi kulia mnachapiwa???????? usimtunze mkeo uone wajuvi wakutunza wanavyocare ndio utii akili.
 
sasa nyie mnataka kuoa wengi ili muolewe, uwe unapiga chenga za kula huku na huku bila kutoa hela??? hela ya chakula ya nyumba 2 mnatoa wapi wakati nyumba moja yenyewe kitendawili. kibaya zaidi mnataka wanawake wawili wote wafanyakazi.

Usigeneralized watu wote wapo kama uliowaona,tunatofautiana
 
Wwe ni Me au Ke???
:focus:
Tekniki tu, unaweka zamu ya kulala,
Leo kwa Bi Mdogo kesho Bi Mkubwa,
Lakini hakikisha unakula Mkuyati.......otherwise kuna sehemu utakuwa unasaidiwa
Ila pesa watatafuta wenyewe,

Kwa uhalisisa zaid muulize Maulid Kitenge

Mzee wa dogo dogo
 
Back
Top Bottom