Unawezaje kumudu wake wawili?

Unawezaje kumudu wake wawili?

Hubby wako anataka kumleta mwenzio nini? Inawezekana tu mbona japo sikuhz du unalala na huyu ukimwacha mwenzie peke yake usiku mmoja tu tayari unapandwa na maswali,huenda ana jamaa au la...in short kuaminiana kumepungua

Changamoto nyingine ni uwezo wa kuwahudumia wote vizuri ipasavyo

hakika umesema kweli
 
Wwe ni Me au Ke???
:focus:
Tekniki tu, unaweka zamu ya kulala,
Leo kwa Bi Mdogo kesho Bi Mkubwa,
Lakini hakikisha unakula Mkuyati
hapo kwenye mkuyati what for???????? kama anafanya mazoezi ipsavyo no need of mkuyati!!
 
Heee kuna wake wenza hua naona wanaelewana sijui ni kweli toka moyoniii,sijui kwa vile wamezeeka sijui ujanani ilikuwajeee
 
Mazoezi nayo kwa shughuli ya kila siku ni iiishu,
mana huyu akikosa leo kesho anataka the same applies to bi mdogo au mkubwa
 
inategemea sana na mke anaeletewa mwenzie ndani yukoje kama mie ili mradi naelewa ni jambo lipo katika dini yangu why mume wangu akazini nje kumbe ana uwezo wa kumuoa aoe tu namruhusu na ukiona mwanamke wa kiislam hakubali matha hii ujue dini yake mwenyewe inamshinda.

Ni vizuri sana kuipenda dini yako na kufuata nini ulichoambiwa utii, ila hapo unaposema kwanini akazini nje, hapo acha usijidanganye, anaweza oa wa 3 na bado akatoka nje, hii ipo sana tu. Hongereni kwa kuolewa wengi
 
mutisya mutambu

Unataka uwafaidishe watoto wa mjini, mji kama huu foleni, kuchoka, kazi nyingi sidhani kama utaweza. watakuwepo ila ujue utasalitiwa sana, maana hutakuwa na nguvu za kuwahudumia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuwa na wake wawili ni ushetani na tamaa tu, Yesu anasema zamani watu waliachiwa kwa sababu ya tamaa zao, lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo. Kwanini wanawake wanaotamani waume wa nje nao wasiolewe mara ya pili na kuwa na wame wawili?. Ndugu hizo ni tamaa tu za kibinadamu, mke mmoja ndio mpango wa Mungu, ndio maana hata mwanzo Mungu aliumba Mwanaume mmoja na Mwanamke mmoja.

Polygamy ni mbaya sana, inasababisha umasikini, inasababisha mke mmoja kwenda nje ya ndoa na kuleta magonjwa ya zinaa, inasababisha ugomvi kwa watoto wakati wa mirathi kati ya mke mdogo na mkubwa. In short, ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu
 
Ni vizuri sana kuipenda dini yako na kufuata nini ulichoambiwa utii, ila hapo unaposema kwanini akazini nje, hapo acha usijidanganye, anaweza oa wa 3 na bado akatoka nje, hii ipo sana tu. Hongereni kwa kuolewa wengi

Asante Ila mama angu yeye akazini tu Ila mpaka anazini kwanza ajiangalie yy na nyie wakeze wapi mnakosea
 
Mkuu kuwa na wake wawili ni ushetani na tamaa tu, Yesu anasema zamani watu waliachiwa kwa sababu ya tamaa zao, lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo. Kwanini wanawake wanaotamani waume wa nje nao wasiolewe mara ya pili na kuwa na wame wawili?. Ndugu hizo ni tamaa tu za kibinadamu, mke mmoja ndio mpango wa Mungu, ndio maana hata mwanzo Mungu aliumba Mwanaume mmoja na Mwanamke mmoja.

Polygamy ni mbaya sana, inasababisha umasikini, inasababisha mke mmoja kwenda nje ya ndoa na kuleta magonjwa ya zinaa, inasababisha ugomvi kwa watoto wakati wa mirathi kati ya mke mdogo na mkubwa. In short, ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu

Kaaaazi kweli kweli
 
Unataka uwafaidishe watoto wa mjini, mji kama huu foleni, kuchoka, kazi nyingi sidhani kama utaweza. watakuwepo ila ujue utasalitiwa sana, maana hutakuwa na nguvu za kuwahudumia

Aiseee so kweli
 
Heee kuna wake wenza hua naona wanaelewana sijui ni kweli toka moyoniii,sijui kwa vile wamezeeka sijui ujanani ilikuwajeee

Yaan usemacho ni kweli na ukiwaona had raha full kuheshimiana
 
Kwa nini wake wawili....???sababu kubwa za msingi..1maradhi yasiyoponyeka...2 kushindwa kushika ujauzito yaani hana kizazi.kwa mfano mke wako amepata paralysis amekuwa wa kitandani tu itakuwa siyo busara kumuacha.

.unaowa mwingine na unakaa nae nyumba hiyo hiyo na munasaidiana kumuuguza mgonjwa.2. Kama imethibitika mke wako hawezi kushika uja uzito unaweza owa mwingine na wote unawaweka nyumba moja.mke mdogo akifanikiwa mtoto unampa yule mkubwa from day one.
 
Na kwanini mtu awe na wake wawili?!
ndo chanzo cha wanawake kuchepuka...trust me ukiwa na wake wawili kwa usawa huu kuna uwezekano ukabambikiwa mtoto kama sio watoto
 
Asante Ila mama angu yeye akazini tu Ila mpaka anazini kwanza ajiangalie yy na nyie wakeze wapi mnakosea

Madame S, sometime wakeze hawakosei, ila wanahisi chakula bado ni kilekile hivyo anaenda kutafuta aina ya 4, 5, 6, 7 ..... labda atapata radha tofauti. Aha ha ahah - just kiding turuthi.
 
Hatari ya mke wa pili kuwa kijana hasa nyakati za mipira kwenye runinga vijana watakuwa wengi kwako kumpa COMPANY wakati wewe upo kwa bi mkubwa na viseversa
 
Madame S, sometime wakeze hawakosei, ila wanahisi chakula bado ni kilekile hivyo anaenda kutafuta aina ya 4, 5, 6, 7 ..... labda atapata radha tofauti. Aha ha ahah - just kiding turuthi.

Ha ha ha nakuelewa mam Ila nAfaham tabia ya MTU huonekana hata afiche vipi
 
na kwanini mtu awe na wake wawili?!
ndo chanzo cha wanawake kuchepuka...trust me ukiwa na wake wawili kwa usawa huu kuna uwezekano ukabambikiwa mtoto kama sio watoto

We we ni dini gani labda tuanze hapa
 
inategemea sana na mke anaeletewa mwenzie ndani yukoje kama mie ili mradi naelewa ni jambo lipo katika dini yangu why mume wangu akazini nje kumbe ana uwezo wa kumuoa aoe tu namruhusu na ukiona mwanamke wa kiislam hakubali matha hii ujue dini yake mwenyewe inamshinda.

Mambo ya kuoa wake wengi ni mambo ya kizamani, kwa sasa hayawezekani. Zamani watu walifanya hivyo katika mazingira ya kijijini, mwanamke hata kama hatoshelezwi na Mume wake hana alternative kwa sababu wakati ule hapakuwa na Guest, ukigeuka ni vichaka tu.

Lakini kwa sasa kuna sehemu nyingi za Faragha, mwanamke akiona mume wake kaenda kwa mke wa pili, na yeye anaweza kwenda Guest faster akapewa dozi. Kwa ujumla, Msichana msomi na anaejitambua hawezi kukubali kuwa na Mume chovya chovya, hawezi kukubali ndizi yake iingie kwenye mdomo wa kila mtu
 
Back
Top Bottom