Unawezaje kumudu wake wawili?

Unawezaje kumudu wake wawili?

Mambo ya kuoa wake wengi ni mambo ya kizamani, kwa sasa hayawezekani. Zamani watu walifanya hivyo katika mazingira ya kijijini, mwanamke hata kama hatoshelezwi na Mume wake hana alternative kwa sababu wakati ule hapakuwa na Guest, ukigeuka ni vichaka tu.

Lakini kwa sasa kuna sehemu nyingi za Faragha, mwanamke akiona mume wake kaenda kwa mke wa pili, na yeye anaweza kwenda Guest faster akapewa dozi. Kwa ujumla, Msichana msomi na anaejitambua hawezi kukubali kuwa na Mume chovya chovya, hawezi kukubali ndizi yake iingie kwenye mdomo wa kila mtu

Nimerefer kwa dini ndugu yangu mathna wathalatha
 
Binadamu wa kiume, kama wanyama wengine, hakuumbwa kuwa na mke mmoja.

Angalia sensa zote - duniani kote - wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Ndio maana watu husema wameoa mke moja lakini hutembea nje.
 
Kama unamashamba oa hata watatu wagawie mashamba wakakulimie hv watakuwa bze na kilimo wala hutasikia kelele za mtu.

Hahahaha. Comment yako imenikumbusha mbali sana!

Kuna bwana mmoja alikuwa akijenga nyumba karibu na eneo ambalo nilikuwa naishi miaka hiyo. Nadhani nyumba ilikuwa ya vyumba 6 au 7. Wakati fulani tukiwa tunaongea nikamuuliza atapangisha vyumba?

Jibu lake llikuw hivi: Alikuwa na wake 3, kwa hiyo kila mmoja atakuwa na chumba chake. Vyumba viwili ni kwa ajili ya watoto. Kimoja ni master bedroom, ambako wake zake watakuwa wakienda kwa zamu kufuatana na ratiba!

Iibidi nimvulie kofia, ila nilisahau kumwuliza management style anayotumia kuishi na wake watatu under the same roof!!
 
my dear mathna wathalatha wa'arba'a wawili tu umeingiajoto wanne utmudu

back to topic iko hivi mume ndie mpangaji zam wake hukubaliana au kuridhia na lile aliloleta mume mbele ake. ktk upangai huo wa zam lazma haqqi iwe sawa bin sawiya viginevyo kesho kwa Allah ana jukumu kubwa unaweza kudumu nawake hata wanne ts very simple. ni ngumu sana kwa wake kukubaliana ila haitakua namani na ndoa yako kama utafanya siri kuhusu ndoa yako mpya mana itakua ngum kupanga zamu.

Wewe ni ustaadhat nini? Hebu nipe Ilmu kidogo dada kuna jambo linanisumbua...itakuaje katika ugawaji wa mirathi kwa Mume mwenye wake watatu atakapofariki? Na vipi hao wanawake wataruhusiwa kuolewa kila mtu na mumewe mpya bila masharti? Shukran
 
yaani mam ukweli ni kwamba wengi wamekuwa hawajielewi dini inasema hivi ukiona una uwezo wa kuoa oa la huwezi funga kuepuka matamanio yako ila wengi wanajipa moyo ntaoa mana ni sawa na kuzaa watoto wengi katika familia kua kila mtoto anakuja na riziki ake ndo wanavodhani hata wake wengi ukioa kila mke huja na riziki ake jambao ambalo ni uongo na gum kama mme hayuko personally stable ni ngumu kuoa wake wengi (kama nitakua nimekuelewa mam)

Kweli, hawa kaka zetu hili swala hawaliwezi kwanza sababu ni wavivu, wenzao waarabu na wapemba ndio wanaweza kumudu hata wake 4. hawa weusi mangala hawa, waachane kabisa hiyo habari, maana mke mmoja tu anawatoa kamasi.
 
Wewe ni ustaadhat nini? Hebu nipe Ilmu kidogo dada kuna jambo linanisumbua...itakuaje katika ugawaji wa mirathi kwa Mume mwenye wake watatu atakapofariki? Na vipi hao wanawake wataruhusiwa kuolewa kila mtu na mumewe mpya bila masharti? Shukran

Ndugu yangu mie sio ustadhat ila najibu kulingana na kile nachofaham kwa swala lako hili kwa kweli ntakujibu kadri navyoelewa kuhus mirathi asee hapa sielew ila nachojua ni kwa mke mmoja inakuaje kuhusu mathna hii ya wake zaidiya wawili sijui ila wakimaliza eda zao ruksa kuolewa kwingine kwa idhni yake mke mwenyewe na mawalii (ndugu) wa mke kukubali pamoja japo utambue kua mtu akishaolewa mara ya

kwanza akaachika au kuolewa kwingine haolewi kwingine mpaka ipatikane ridhaa ake yake mwenyewe kama mke na akiridhia ruksa ndoa si kama anayetaka kuolewa sasa kua idhini iko chini ya walii zake na yy mwenyewe kama ntakua nimekujibu sahihi ila najitahid kukutaftia ufumbuzi juu ya hili la mirathi nitakujibu pindi pale nitakapopata elim zaidi. niwie radhi kwa kukujibu late.

cc. Zamilunizamiluni FaizaFoxy kwa msaada zaidi.
 
Kweli, hawa kaka zetu hili swala hawaliwezi kwanza sababu ni wavivu, wenzao waarabu na wapemba ndio wanaweza kumudu hata wake 4. hawa weusi mangala hawa, waachane kabisa hiyo habari, maana mke mmoja tu anawatoa kamasi.

ahahahahha mam nimecheka hiyo sentensi ya mwisho. ila mam sio wote wapo weusi wanaweza hili
 
mmmmmh hata hayo mashamba still yataleta kelele tu mama

Nikwambie kitu mamii, zamani za mababu zetu kabla mzungu hatuzuga, mababu zetu walikuwa wanaoa wake hata 10 na wanawake walikuwa wanapenda, kwanini walikuwa wanapenda??? kwasababu wanaume walikuwa wanajua wajibu wao,

lakini pia hawakuoa kwa tamaa, waliwaoa na kuwaweka sehemu sehemu tofauti na kuwapa mashamba/mifugo, hivyo kila mwanamke alikuwa anafanya kazi zake za kuzalisha na uhakika wa maisha ulikuwepo, lakini sasa hawa wavulana wanaoa kwa tamaa tu, na niwabaguzi sana, akioa wa pili wakwanza hana thamani tena hivo amani itoke wapi hapo??????/
 
hata mie sijamuelewa ana maanisha nini

Basi naona ulipitiwa tu au mi ndo sikukuelewa unamaanisha nini. Ujue nimekukopi baada ya kuona ulivyomjibu hapa

By mchakavumlasana Ili uweze kudumu na wake wawili
1. Ukishapanga ratiba marufuku kuibadili
2. Hakuna kufatilia wake zako we ridhika tu

Ulivyoandika wewe (hasa hapo kwa red):
ndoa za dizaini hii mama ni zinahitaji mengi zaidi ya hayo ni kweli ukipanga ratiba usibadili ile je kuna mambo yatatokea kati ugonjwa au kitu chochote kile kitakachofanya zamu iingiliwe unadhani itakuaje hapo???

namba mbili nakubaliana nawe.
 
Labda niseme kitu ndugu yangu nilimuelewa kwa maana kua ukiwa umeshapanga ratiba na kufuatwa na unawahudumia ipasavyo hakuna hAj ya kuanza kuwafatilia kwa namna yeyote ile labda itokee lipo jambo LA lazima kufatiliwa hivo ndo ambavo nimemwelewa Ila nilisahau kudadavua tu hapo sjui utakua umenielewA
 
yaa nimekupata sasa mkuu, asante sana
 
Binadamu wa kiume, kama wanyama wengine, hakuumbwa kuwa na mke mmoja.

Angalia sensa zote - duniani kote - wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Ndio maana watu husema wameoa mke moja lakini hutembea nje.

Toka nianze kufuga wanyama sijaona jike linalala na dume moja pia labda kama unataka kusema wanawake ni binadamu ana akili na utashi wa kujua baya na zuri na wanaume ni sawa na wanyama kulala na kila jike.

Idadi ya wanawake ni nyingi kwa kuwa tu wanahesabiwa wote na wengi wanaishi miaka mingi kuliko wanaume so labda useme idadi ya wanawake vikongwe ni wengi kuliko wanaume vikongwe ila kwa vijana mbona idadi yenu iko sawa tu.
 
ndugu yangu mie sio ustadhat ila najibu kulingana na kile nachofaham kwa swala lako hili kwa kweli ntakujibu kadri navyoelewa kuhus mirathi asee hapa sielew ila nachojua ni kwa mke mmoja inakuaje kuhusu mathna hii ya wake zaidiya wawili sijui ila wakimaliza eda zao ruksa kuolewa kwingine kwa idhni yake mke mwenyewe na mawalii (ndugu) wa mke kukubali pamoja

japo utambue kua mtu akishaolewa mara ya kwanza akaachika au kuolewa kwingine haolewi kwingine mpaka ipatikane ridhaa ake yake mwenyewe kama mke na akiridhia ruksa ndoa si kama anayetaka kuolewa sasa kua idhini iko chini ya walii zake na yy mwenyewe kama ntakua nimekujibu sahihi ila najitahid kukutaftia ufumbuzi juu ya hili la mirathi nitakujibu pindi pale nitakapopata elim zaidi. niwie radhi kwa kukujibu late.

cc. Zamilunizamiluni FaizaFoxy kwa msaada zaidi.

Shukraan
 
ahahahahha mam nimecheka hiyo sentensi ya mwisho. ila mam sio wote wapo weusi wanaweza hili

Mamii wapo wachache katika 100 wapo wawili, wengi wauza maneno tu, wewe angalia unakuta mtu anamke ila anang'ang'ania kuchepuka, ukiangalia hata hela ya hotel ya bei ya chini elfu 30000 hana,

ukieleza shida utasikia unajua nina ujenzi hivo hali si njema kumbe hajengi ni stress tu zinamwendesha, sasa sijui anataka awe anachepukia kwenye majani???? mtu wa hivi utasikia bora tu nioe mke mwingine kuja kwenye matunzo hapo ndio utaona mauza uza tu, maana hata elfu 5000 tu yakuacha kwa mke mmoja hana, unategemea nini kama sio kuchapiwa tu????

'
 
Back
Top Bottom