Unawezaje kumudu wake wawili?

Unawezaje kumudu wake wawili?

ndo maana nkasema bado sijaona sababu za msingi za kuoa wake wawili...

ni tamaa tu.hata suleimani ilikuwa tamaa na ndo maana alipogundua hauwezi kimbizana na tamaa akasema ni kujilisha upepo.hakuna ukweli kuwa mwe tamaa akiwa na wawili ataacha kutamani,uzoefu tunauona hata mtaani,
 
Back
Top Bottom