smileagain
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 585
- 631
Inategemea mkuu,ila kwa watu wapole na wakimya ni ngumu sana inahitaji neema ya Mungu binafsi uchungu ukizidi huwa nawaombea tu atleast napata nafuu na Mungu alivyo wa ajabu the more unachukia kiumbe chake the more anazidi kumbariki,hahaha,ila ukitaka Mungu amfundishe adabu mtesi wako nimegundua ni kumsamehe na kumtakia kila lenye kheri apo ndipo Mungu atamdescpline....but all in all kisasi ki juu ya Mungu na Mungu ni wetu sote hanaga upendeleo We all matter to HimIla mimi mkuu sijui binadamu wa namna gani huwa situnzii kitu. Ukinikosea kesho yameshaisha nakuona mpya