Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
- #61
Siwezi fanya hivo kwa kiumbe kisicho na hatia mtoto anahitaji upendo tuu ni wangu Mungu kanipa no matter what siwezi mtamkia maneno mabaya sababu hiyo ni upon his dady yeye hayamuhusu na hapaswi kuyajua.Kwa mfano kama kidume kakupa mimba halafu kakukataa, bhasi unamchukulia kawaida tu ili usilee mimba kwa hasira hata ukamuathiri mtoto aliyetumboni mwako, unakiri mbele za Bwana kuwa umemuachilia kosa lake bila kumlipa lolote baya, endelea na maisha yako, ukijifungua lea mtoto kwa upendo na siyo kumwambia maneno ya chuki/mabaya aliyokufanyia baba yake.