Unawezaje kumsamehe aliyekukosea?

Unawezaje kumsamehe aliyekukosea?

Kama umeshindwa kusamehe, wala usijali. Mda ni kitu kizuri, utasahau na kusamehe kadri mda unavyoenda. Huwezi kuweka roho ya kwa nini maisha yako yote.

Nani huyo unashindwa kumsamehe, ni baba kijacho? Kama ametubu makosa yake mpe nafasi, kama Mungu anatupatia nafasi mara zote tunapomkosea, iweje wewe ushindwe kumpa mwenzako nafasi?
Mtani.... Inategemea aisee, time inatufanya tusahau tu but sio kusamehe. Mtu akujeruhi hisia nyang'anyang'a unaanzaje kumsamehe kwa mfano...
Nitamsamehe baada ya kulipiza.
 
Mtani.... Inategemea aisee, time inatufanya tusahau tu but sio kusamehe. Mtu akujeruhi hisia nyang'anyang'a unaanzaje kumsamehe kwa mfano...
Nitamsamehe baada ya kulipiza.
Usilipize kwangu tu mtani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom