Unawezaje kumsamehe aliyekukosea?

Unawezaje kumsamehe aliyekukosea?

Kusamehe ni uamuzi tu. Ukiamua kumsamehe mtu hakuna linaloshindikana haka kama amekuibia mme/mke anasameheka. Tatizo liko umefundishwa nn kuhusu msamaha!! Mambo ya imani (rohoni) yanaathiri sana chanya au hasi uwezo wetu kusamehe. Mfano: kama ww unafundushwa JINO KWA JINO kitu msamaha utakua msamiati. Kama ww umefundishwa imani ukafika hatua ukajiona namna gani ww ni mwenye madhambi mengi tu na Mungu anakuvumilia anakusamehe anakupa nafasi nyingine ukijua vzr nankuamini utajua namna ya kuextend msamaha kwa wengine. Nimesema hivyo bse tunaamini shetani hupenda tumkosee Mungu hivyo hatopenda jamii iliyokaa kwa amani ndo maana atakusaidia usisamehe wakosaji.

Lakini kituko zaidi. Je usiposamehe nani anaumia?mkosaji au ww mkosewa? Utagundua anayeumia ni mkosewa si mkosaji maana mkosaji amekosea kama muungwana akajaribu kuomba msamaha kisha ukamgomea ujue ww ndo umejiweka jela utakosa amani ww sio mkosaji utakuabunakumbukankosa kila mara nankukasirika hadi watu wanakushangaa maana memory ya kosa inaweza kukujianhata uko ofisini kazini mara mood imechange unadhani nani anaumia??

Moja ya faida ya msamaha ni kutusaidia ss tunapokosewa tusibebe matakataka hayo ya makosa na makwazo ya watu mioyoni mwetu. Maana ukiendeleea hvyo muda si mrefu utaanza kulalamika kichwa mara mgongo nk. Stress haziachi afya zetu salama.

JIFUNZE KUSAMEHE MAANA HATA WW HUKOSEA PIA
 
Hello jf,katika maisha kila binadamu hukosea na aombapo huweza kusamehewa au kutokusamehewa..kwa wale mnaosamehe mnawezaje kufanya hivo sababu mimi mtu akinikosea kitu ambacho kikanitoa chozi basi huwa sisamehe yani huwa nashindwa kabisa kumsamehe hata aombe msamaha vipi sisamehe then namchukia sana,mnaosamehe mnawezaje jaman kuwasamehe waliowakosea?
 
msikilize Goodluck hapo utapata majibu
 
Kuna tofauti kati ya KUSAMEHE na KUPUUZA. Ukisamehe inamaana unamfutia mtu hatia ya kosa lake anakua kama hajakukosea kisha uhusiano unaendelea. Ukiua uhusiano hujasamehe umefanya kitu ingine. Kupuuza ni kutotaka kufanya suluhu wala nn ila unachikulia poa tu nafsini mwako ila kuna namna utamuavoid au kubadilisha mazingira etc. The best way ninkusamehe. Hii inaonesha advanced maturity behaviour.

Mfano wazazi wetu tuliwakosea sana tukawakwaza sana pengine walilia sababu yetu lakini waliamua kutusamehe na bado wakatusaidia kufikia ndoto zetu. Japo wapowazazi wachache waliosusa watoto wao kwa sababu ya makosa fulani
 
Okay mkuu nimekuelewa asante kwa ushauri.
 
[HASHTAG]#Ngozijoram[/HASHTAG] ahsante mkuu umenifungua kitu barikiwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom