Unawezaje kumfanya mtoto ajiamini (awe na confidence)?

Unawezaje kumfanya mtoto ajiamini (awe na confidence)?

Watoto bwana,mwanangu ana miaka 3.5 huwa nikijaribu kumuongelesha kwa ukali au kumkalipia afanyi hicho kitu anachohitaji na wala haogopi ila ukiongea kwa upole anafanya na anakusikiliza.

Kiufupi naona kabisa nimejizaa maana nami nipo hivyo,uki ni command ndio umeharibu kabisa.
Wewe ni Jiwe. Hupangiwi
 
Zungukenii kooote lakin mtoto anajifunza vzr kwa kuona sio kusikia,

Mtoto anavyowaona nyie wazazi mnavyoishi ndio anacopy na kupaste kwenye ubongo wake

Ukiona amekosa kujiamin ujue mmoja wenu ypo hvyo hvyo

Tabia ya mtoto inatokana zaid na nyie wazaz

Tabia ya mtoto inajijenga kuanzia akiwa na tumboni mpk akifika miaka nane,zaid ya hapo habadiliki tena.

Njia nzuri na nyepes zaid ya kumfanya mtoto ajiamin na ajione nae ni mtoto kati ya watoto mpende sana mama yakr mpk mtoto ajue baba anampenda sana mama

Mwsho mtoto akikaa sana na mama anakua bora ila akikaa zaid na baba yake anakua bora zaid..Tchao
 
Kitu cha kwanza kabisa, mfundishe kuweza kukuangalia machoni wakati mnaongea, asiangalie chini wala pembeni, akukodolee machoni kwa muda wote mkiongea na afanye hivyo na kila mtu, hiyo ni hatua ya kwanza akifaulu huo mtihani unaweza kusema 50 % ya kazi inakuwa imeisha, pili usimpige wala kumgombeza na usiruhusu mtu yoyote kumpiga au kumgombeza mtoto wako bali jaribu kumuelezea alichokosea, tatu kama ni mdogo anajifunza kuongea usiongee naye kitoto, bali wewe ongea naye kama unaongea na mtu mzima, kamwe usitamke maneno kitoto au usitumie lugha ya kitoto kama yeye bali wewe tamka kiutu uzima maneno yote pamoja na magumu, ...
Hii ya kumuangalia mtu straight in the eye kwangu Ni mtihani mkubwa sana, Yani huwa siwezi
 
Back
Top Bottom