Acha hizo mzeeHiyo ndo raha ya mapenzi, ukiona mpenzi wako hajawahi kujamba mbele yako ujue hakupendi.
Hiyo inawez kuwa dalili ya h pylori wanaoleta gastirisAnywe maji mengi ameze dawa za kutoa gas akapimwe vidonda vya tumbo
Tupe story yake Mkuu tafadhaliKama yule receptionist wa Kiuruwi Executive hotel🤣🤣🤣😉
Ila mengine yanazungumzika tu hakukua na haja ya uziUmetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.
Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.
Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.
Pumbavu, tabia chafu sana hii
Aisee! Kumbe siko peke yangu nnaye wajua. Hawana aibu kabisa. Katikati ya watu utasikia wanasema "ngoja niende kukojoa"badala ya kusema "naenda uwani" au kama kama ni kwenye Bus utasikia wakimwiita konda bila aibu "wee konda, sismamisha gari tukakojoe".Hawana aibu kabisa. Mijitu mzima yanaendaje kukojoa kama watoto wadogo?Inaweza kuwa tatizo la kuzaliwa au malezi.
Kuna watu wanakuwa hivyo na kuna wengine wanakuwa hivyo kulingana na vyakula wanavyoula. Wengine ni malezi niliishi kwa muda mfupi mkoa fulani ilikuwa ni kawaida kwa mtu mzima kwenye watu wengi au kwenye gari kujamba na watu wakaa kimya
Jenhiyo tabia ameanza muda KABLa hamjaoana au baada ya kuoana?
Na wewe jamba
Siku akipatwa na tumbo la kuhara tutegemee uzi pia.😅Yani kitu kidogo, mnaanza kuweka siri zenu mitandaoni
wakati sisi wengine tukijambiwa tunafurah tena unampa fursa mke/mpenz kuwa ww ukijiskia kunyambaa ww nyambaaa tuu kuwa na amani mwache mtu ajiachie hv ushawah kudate na mwanamke upo nae mwaka mzima kwa mahusiano hujawah sikia ushuzi wake!!!Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.
Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.
Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.
Pumbavu, tabia chafu sana hii
SahihiIla mengine yanazungumzika tu hakukua na haja ya uzi
Huyo ndio waifu matilio, mwache ajambe kwa kujinafasi.Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.
Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.
Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.
Pumbavu, tabia chafu sana hii