Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Ila mengine yanazungumzika tu hakukua na haja ya uzi
 
Inaweza kuwa tatizo la kuzaliwa au malezi.

Kuna watu wanakuwa hivyo na kuna wengine wanakuwa hivyo kulingana na vyakula wanavyoula. Wengine ni malezi niliishi kwa muda mfupi mkoa fulani ilikuwa ni kawaida kwa mtu mzima kwenye watu wengi au kwenye gari kujamba na watu wakaa kimya
Jenhiyo tabia ameanza muda KABLa hamjaoana au baada ya kuoana?
Aisee! Kumbe siko peke yangu nnaye wajua. Hawana aibu kabisa. Katikati ya watu utasikia wanasema "ngoja niende kukojoa"badala ya kusema "naenda uwani" au kama kama ni kwenye Bus utasikia wakimwiita konda bila aibu "wee konda, sismamisha gari tukakojoe".Hawana aibu kabisa. Mijitu mzima yanaendaje kukojoa kama watoto wadogo?
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
wakati sisi wengine tukijambiwa tunafurah tena unampa fursa mke/mpenz kuwa ww ukijiskia kunyambaa ww nyambaaa tuu kuwa na amani mwache mtu ajiachie hv ushawah kudate na mwanamke upo nae mwaka mzima kwa mahusiano hujawah sikia ushuzi wake!!!
 
Mshauri awe anaenda haja kubwa kila akijisikia asibane haja.
Mtu aliyebana haja ndio ushuzi wake unanuka.

Kipindi sisi wadogo, ukiachia ushuzi ukinuka mama zetu na bibi zetu wanatuambia nenda chooni hata kama hujisikii jilazimishe na kweli baada ya hapo hali inakuwa shwari.

Tatizo watu wanaona ni sawa kupitiliza siku hajaenda haja kubwa halafu anategemea ushuzi usinuke.
 
Pole mkuu. Dawa Ni rahisi Sana chukua majivu changanya na maji kisha ya kologe kwenye kikombe Cha chai anywe mara moja tu itakuwa mwisho

Ina weza kuji rudia lakini harufu isiwe Kali na anaweza kuendelea kutumia hata Mara moja kwa wiki Kama ata endelea kujiskia hivyo
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Huyo ndio waifu matilio, mwache ajambe kwa kujinafasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom