Unaweza kuwatambua hawa hawa..?

Macho yangu yako kidigitali zaidi.
sosoliso, hebu niwekee wakidigitali nikudadavulie faster.

Ha ha ha.. Macho yako hayana nguvu hayo saudari.. Mapenzi yenu ya kisasa wanakunyonya mpaka macho.. Utapoteza saiti ukifanya mchezo..
 
Last edited by a moderator:
Nimemuöna mfalme wa rock n roll japo wanasema soda ina gesi lakini haitokei ntwara nnesafari kutoka dar mpaka ntwara sijaona hata nti m1 neona nlima tu japo inategemea ntu na ntu.
 


Aiseee Bujibuji ukipatia hapa nitakuamkia mpaka mwaka uishe.. Ni nani huyu..?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…