HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Unajua kwa mfano ukienda kukutana na watu wapya, kwa mfano kwenye seminar, wakati wa break utapenda kustorisha na mtu aliyekuvutia, na kuvutia inaweza kuwa kwa kumtamani... then hapo ni rahisi mkajenga network na baadae ukampenda...
Yap hiyo inawezekana sana, Ila kwa wengine kwenye seminar hizo hizo hupenda kujenga mahusiano/urafiki kwa kuvutiwa na watu wenye uwezo mzuri either kuchanganua mambo, au uelewa wa mambo fulani fulani au namna wanavyoweza kusolve matatizo complex kwa kutumia akili azidi badala ya nguvu. Hapo sasa, kumtamani huja baadaye kabisa kama amekidhi vigezo vingine (i.e yuko single nk).
Ila kila mtu ana mtazamo wake juu ya hili na mtazamo wako pia naukubali.