tufanye mila kwanza!
cc Nicas Mtei
THEDEALER Nimependa humo nilipobold..very interesting kama mtu atapasoma between lines...thanks for the contribution buddy...
Mashalah ingawa mimni ni mdada mwenzako lakini nimeipenda Avarter yako na imejionesha wazi hata ulivyochangia ni mtu wa hekima uliye katika Ndoa Imara
Kwangu naamini Avarter huwa inam-discribe mtu alivyo
Asante sana shosti wangu
Zion Daughter sio siri umenipa task ya kuumiza kichwa ili nichangie 'mipwenti'...si umesema 'michango' ya mtu nayo inampa credit?...hakyamama sasaivi ntakuwa siongei upuuzi..full mipwenti... snowhite umesikia????
[/B][/COLOR]
ahahahahahhha naona muda si mrefu ntakuwa na mitala hapa!Nikuwowe mara ngap? Au unataka zle adhabu za miaka ile tulpokuwa tunakufuatilia zijirudie? Nakuonea aibu ujue
Mapenzi is not one thing or the other ni mixture ya vitu vingi.., ni package.., hata wale wengi tunaodhani tunawajua huenda hatuwajui kivile, au tuna-ignore vinavyotuuzi na ku-highlight tunavyovipenda, kwahio hata yule usiyemjua lazima kuna vitu vinakuvutia kwake na vile usivyovijua unafeel in the blanks na the best possible outcome, ndio maana mara nyingi baada ya kumjua mtu sababu ya over-expectations unaweza ukajikuta umekuwa disappointed
saudari na wewe kumbe avatar inakupindua pindua!
AVATAR lakini imenimaliza ujue...
Fikiria KITANDA...lolz
Unajua watu hudhani kuwa......maisha ya JF ndio maisha halisi ya mtu.....humu tuna majambazi.....wachawi.....mabazazi......na kila aina.....sasa niambie ndo umefall kwenye avatar ya Preta.....kumbe mchawi.......imefika muda wake wa kutoa mgao huko uchawini......hana.......bahati nzuri ndo ushajipendekeza......hujatolewa kafara mkuu.....? think....
saudari na wewe kumbe avatar inakupindua pindua!
ahahahhaha mbavu zangu mimi Malkia wa Sheba hebu mwaga misifa yangu hapa niwapange kama mabehewa ya mwakyembe!(nakomaje sasa zikiwa ni -neg
na walio na ulemavu wa macho je?ni vigumu sana kumpenda mtu ujamuona, itakuwa ni kudanganyana na kupotezeana mda.
sun wu nakupenda sana mtu wangu kwa sababu unafunguka sana na una mapointi ya ukweli..Umenifanya nijiulize kwa nini na sisi tunaweka avatar hii na sio ile....Nadhani hata muwekaji ana pointi ambayo anataka waonaji wainotisi..so, nadhani haipendezi kuignore avatar....if i get you wrongly please stop me....
Aisee!
Avatar.
Mimi nafikiri avatar tunazoweka (ambazo ni picha, na sio zetu), mara nyingi zinaeleza vile tunavyopenda/tamani kuwa na sio jinsi tulivyo.
Zile za vitu, zinaelezea kwa uchache tabia na interests zetu. So still kwa avatar you can learn a lot about the person.
What we post.
Again, kama avatar tunachoandika kwa asilimia zaidi ya nusu; linaelezea nini tunaamini, nini tunafanya au tuna strive kufanya hata kama hatufikii kwa asilimia 90.
What we 'like'
Apart of giving someone a like just to be nice or because l am expected to; zingine zinaelezea tabia zetu.
Hivyo vitu vyote vinachangia kujenga taswira ya mtu kitabia na kumuumba kimuonekano (jinsi tunavyotaka awe).
Issue ya kumpenda mtu ambaye hujaona sura yake, inawezekana kwani unapenda tabia yake ambayo inakuwa expressed kwenye michango yake (hasira, upole, uvumilivu, uarrogant, usweet, msaada etc). Ili kuijua kwa usahihi tabia ya huyo mtu it takes muda n lots of it. Kumtamani mtu, inaambatana zaidi na muonekano wa nje (huenda hapo ndipo mapenzi ya kiavatar yanapokuja na ndiyo yenye disappointment).
So kwa maoni yangu, it is possible to fall in love with a person ambaye hujamuona. Vipofu si wanapenda pia AU??????
Mkuu SnowBall hii inawezekana kwa 100%.
Mimi nina uwezo wa kumpenda mtu pasipo kumuona na nikaridhika nae kbs.
Na hii inatokana na ustaarabu wake kwangu.
Kama tangu nimeanza kuwasiliana nae hajanikera wala kunikwaza, kwa nini nisimpende?
....nitakupenda tu, tena kuliko unavyodhani.
Japo pia tukiangalia Side B tutakumbana na madhara ya kupenda visivyoonekana.
Kuhusu Kumpenda member kutokana na Avatar, hilo linategemea.
Japo kwangu hutokea mara nyingi tu kuwapenda member flani na flani kutokana na avatar zao.
Tena inakuwa bomba sana kwa maana sipiti bila kucoment kwenye nyuzi zao....lolz