Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
avatar na miandiko inasema mambo mengi sana kutuhusu!
lakini sio guaranteed kuwa snowhite huyu wa nyuma ya keyboard ndiyo yule sweeet nanihino kwa mumewe.................au mama...........kwa watoto wake,au .......................kwa rafiki zake au madame.......................kwa wanafunzi wake!
Nimependa Avatar yako ila nakuonea aibu