Unaweza kumpigia magoti mpenzi wako?

Unaweza kumpigia magoti mpenzi wako?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Unaweza kumpigia magoti mpenzi wako?

935628_455897004491017_1236285474_n.jpg
 
Hawa wanaigiza kabisaa
Hawapo siriazi
 
mimi napiga sana tu.........

Preta unajua hata mimi naweza kukupigia magoti wewe ,sasa sijui wanaokataa wanakataa nini tu,na navyojua kubembeleza hata kama nimekukosea utanisamehe tu maana wakati huo na chozi litakuwa likimwagika..
 
Last edited by a moderator:
Ukipiga magoti mwanaume hutakaa unyanyuke!
 
Back
Top Bottom