Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,033
- 9,923
MarhabaLabda usiku
Hizo mambo zina raha yake kufanyia maeneo usiyotarajia
AiseeLabda usiku
Hizo mambo zina raha yake kufanyia maeneo usiyotarajia
Mkifika ni kuconect device sucessfullyMaandaliziii maandalizii hakuna kupoteza muda
maandalizi ya kifo kibaya sana na cha huzuni mno, mahali hatarishi kwa uchafu na chukizo, aibu na fedheha kwa wahusika, familia na jamii kwa ujumla....
Boda ikiruka bumps mnadondoka hamjajishikiliaLabda usiku
Hizo mambo zina raha yake kufanyia maeneo usiyotarajia
How,,,,elezea ilikuwajeAisee umenikumbusha mbali sana, lakin ilikua usiku
Mdau wa kwenye video kajishikiliaBoda ikiruka bumps mnadondoka hamjajishikilia
Relax, maisha hayapo complicated hivyo. Kila mtu afanye linalompa raha bila kuvunja sheria, maisha ni mafupi sana Ili mradi usivunje sheria. Ku kiss kwenye public hairuhusiwi kisheria lakini ku kiss ukiwa kwenye motion kama huyo mhuni sio kosa kisheria. Kwasababu ukimwangalia wewe ndo umejipendekeza. Halafu, Kila nchi lazima iwe na wahuni Ili kuleta amsha amsha sio nchi inapoa kama North Korea.maandalizi ya kifo kibaya sana na cha huzuni mno, mahali hatarishi kwa uchafu na chukizo, aibu na fedheha kwa wahusika, familia na jamii kwa ujumla....
mambo sahihi yafanyike kwa usahii mazingira na mahali sahihi na kwa usalama....
Upesi sana shwaaaa baada ya second mbili una disconnected shutdown duruuuuuu.🤣🤣Mkifika ni kuconect device sucessfully
Baada ya window kushut down yanaanza majuto 😂Upesi sana shwaaaa baada ya second mbili una disconnected shutdown duruuuuuu.🤣🤣
Hahaha unasema ivi hii teni si ningeweka hata bundle ya internet 😨😨Baada ya window kushut down yanaanza majuto 😂