Unaweza kujua tabia ya mtu kwa kuangalia anatumia simu ya aina gani.

hapa kuna self intereSt hivo lazima kamba ivories kwa aliyeibua,ingeekua sawa kama hajawai kutumia simu au kuwa na siM.over
 
hapa kuna self intereSt hivo lazima kamba ivutiwe kwa aliyeibua,ingeekua sawa kama hajawai kutumia simu au kuwa na siM.over
 
UNAWEZA KUJUA TABIA YA MTU KWA KUANGALIA ANATUMIA SIMU YA AINA GANI.

1. Blackberry= anapenda sifa
2. Sony =yupo yupo tu
3. Apple iPhone = mtulivu (classic)
4.Nokia=yupo bize na Mishe zake
5. LG = mzinguzi, anaboa
6. Samsung = All about style
7. Motorola = Ana ushamba flani
8. HTC = Ana mambo ya kitoto
9. ZTE = haeleweki
10.Huawei = mtu mzuri kuwa nae
11 Techno = wanaigiza maisha

we upo wapi?

Kwa jinsi ulivoitaja simu yangu naona una utani wa ngumi
 
UNAWEZA KUJUA TABIA YA MTU KWA KUANGALIA ANATUMIA SIMU YA AINA GANI.

1. Blackberry= anapenda sifa
2. Sony =yupo yupo tu
3. Apple iPhone = mtulivu (classic)
4.Nokia=yupo bize na Mishe zake
5. LG = mzinguzi, anaboa
6. Samsung = All about style
7. Motorola = Ana ushamba flani
8. HTC = Ana mambo ya kitoto
9. ZTE = haeleweki
10.Huawei = mtu mzuri kuwa nae
11 Techno = wanaigiza maisha

we upo wapi?

Blackberry na Sumsung
 
UNAWEZA KUJUA TABIA YA MTU KWA KUANGALIA ANATUMIA SIMU YA AINA GANI.

1. Blackberry= anapenda sifa
2. Sony =yupo yupo tu
3. Apple iPhone = mtulivu (classic)
4.Nokia=yupo bize na Mishe zake
5. LG = mzinguzi, anaboa
6. Samsung = All about style
7. Motorola = Ana ushamba flani
8. HTC = Ana mambo ya kitoto
9. ZTE = haeleweki
10.Huawei = mtu mzuri kuwa nae
11 Techno = wanaigiza maisha

we upo wapi?

hiyo 11 kama ina kwa ukweli fulani hivi...........
 
Dah!Sisi wennye Blackberry ni wapenda Sifa?!!Kukicha naenda tiGo kuchukua Huawei!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom