Unaweza kujua tabia ya mtu kwa kuangalia anatumia simu ya aina gani.

MziziMkavu, hizo ni tabia za watumiaji wa baadhi tu ya aina za cm, wanaotumia hizo aina zingine kwenye link ambazo hujazitaja tabia zo ni zipi???
Gonga hapa: List of all mobile phone brands - GSMArena.com

CC: Joe Nyandigira
Joe Nyandigira nime'edit naamini sasa nimeeleweka vizuri.

Nimeku'mention kama acknowledgement flani coz hiyo link nimei'copy kutoka kwenye mchango wako katika mada hii: https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/589379-kuitambua-tecno-p3-original.html
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom