Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

wnatia huruma ---------- kanga ,inabid waonyeshe kuwa wanasura za matumain .
 
hao wazee hawajitambui ccm kwao imekuwa kama desturi kwa mfano zaman watu ilikuwa fashen na ujanja nguo zao zikinukia sumu ya mende..wazungu walitucheka sana kupenda harufu ya sumu ambayo inamadhara..ndo sawa na hao kina bibi na baadh ya vijana wa kisasa kuipenda harufu ya sumu{ccm} wakati kuna perfume zenye harufu nzuri na za bei chee{chadema}
tuamken jaman tunachekwa na wenzet mataifa mbalimbali kwa kuendelea kuona ujanja kunukia harufu ya sumu....
 
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?

Wamefuata khanga
 
kuweni na adabu kwa wazai wenu ,, kwenu nyie mtu asie chadema baas afaa kutukanwa,,, kwa taarifa yenu hao ma bibi na mababu ni wengi sana tanzania na ndio mtaji wa ccm,,,, waaminifu na wanapanga foleni toka asubuhi,,,
 
WATAKUWA WAKAZI WA MWANZA MABATINI AU BUAGARIKA AU IGOGO,watakuwa wapiga gongo maarufu na wakati wa kushuka milimani katika hali ya ulevi wanaondokea kwenye mawe meno yanangoka,hii ni kwa sababu ccm wamepiga marufuku gongo,bora slaa aje aihalalishe wawe wanaipata hata bar na hotel maarufu
 
kuweni na adabu kwa wazai wenu ,, kwenu nyie mtu asie chadema baas afaa kutukanwa,,, kwa taarifa yenu hao ma bibi na mababu ni wengi sana tanzania na ndio mtaji wa ccm,,,, waaminifu na wanapanga foleni toka asubuhi,,,

Ila vinapungua kwa kasi sana. Vingi vyao vitakufa hata kabla ya uchaguzi coz maisha yamekuwa magumu hata watoto wao wamewasusa maana hawatumiwi pesa. Pesa walokuwa wana2miwa ndo inanunua umeme
 
Aliyepost picha hii anayo matatizo ya mtindio wa ubongo,maana nyingine ni taahira-kama hukupata wazazi au walezi wa kuheshimu,basi heshimu wazai wa wenzako,siasa zako za kijinga zisikufanye uchukue picha za hawa mama wa watu(bibi) bila aibu uje kuwaleta katika mjadala ndani ya jf,tafuta watu wa rika lako,kufanyia ujinga huu,una laana ya malezi toka utotoni mwako-shame on you!!
Hahahaaaaa ukisikia paaaaa teh teh teh badugu umeleta picha ya bibiake humu hahahaaaa...
 
je ccm inavyowaburuza kwa kutumia huo uzee wao unaona
Msakame aliyewaburuza! Si kuwatukana wahusika kwenye picha kuwa hawana meno na hawajapiga mswaki! So shallow!! Narudia!

mficha maradhi mauti humuumbua ! Unajua kwanini hao wamama wana mapengo ? Nakuibia siri , NI KWA VILE CCM IMEWAFANYA MASIKINI WA KUTUPWA KIASI CHA KUSHINDWA HATA KUNUNUA DAWA YA MENO ! Kama hutaki PASUKA , lakini huo ndio ukweli .
 
Hawa ni marginalized majority hawajui wanacho shangilia.duniani hakuna kitu kibaya kama ujinga.waweza kumtumia mjinga utakavyo na ndivyo ccm wanavyo watumia wanawake ambao hawaja soma.ukombozi wa kweli Nchi hii utakuja pale elimu ya uraia itakapo wafikia akina mama wa vijijini.
 
Dharau kwa wazazi wenu mkijiona kuwa nyie ni zaidi ya walio wazaa , kizazi cha laana subiri na dharau zako
 
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?
Hata wazee wanaujua vyema sana mchango wa ccm katika kuleta maendeleo kwenye taifa hili ..sio nyie vibaka wa chadema na hao wavuta bange na wanywa gongo wenu.
 
afadhali hao ccm wanawapa hivyo vitu,kuliko chadema inawang'oa kucha!

Kichwa maji kabisa wewe!;Hata ufahamu wako ni kama wa nyumbu tu!;Hata mpambazuko hujapata kabisa!;Wewe ccm unaonainakufaa kabisaa!,ninyi ndio mitoto ya mafisadi mnatuacha tunakufa njaa kitaa!,hata kidogo tulicho nacho mnatunyang'anya!.Mlaaniwe maccm!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hapo kaka lazma tutambue si kila mtu anaeunga ccm ajitambui
 
ndo type ya member waliobaki nao, vijana wote walisepa upinzani
 
ccm inapenda watu kama hao, wasiojitambua ndo mana inawapata watu wa aina iyo vijijin
 
Back
Top Bottom