Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

---------- kanga, sabuni na chumvi, hata nyumba wanzoishi ni za tembe na hawana chakula hata midomo yao inatoa vumbi....
 
Hawa magamba wamekuja na staili mpya ya kuwapa ugoro wazee siku izi..that wy mikutano yao wanajaa wazee
 
Bora CCM inawakumbuka kwa Ubwabwa,T shirts, Kanga, Chumvi, pesa nk.

Cha msingi kila mtu anabeba msalaba wake na Maisha yanasonga mbele.

Chadema wanaofaidi ni wazinzi fulani wanabadilisha wanawake..
eti wanashindana kuachana na wake zao kuchukua hawara.

wengine eti mahawara wanawaita wachumba.

Acheni bibi zetu wafurahi..mnataka waende kwenye mikutano yenye fujo kwani wamewaambieni wao ni mabondia..
ili uwe chadema lazima uwe mtu wa shari asiyetumia akili yake ipasavyo na ikiwezekana unywe gongo na kuvuta bangi ili ujiweke tiyari kwa fujo zisizo na tija...
 
Bila chenga hawajitambui wapo wapo tu na wengi wao Darasa hakuna ndio maana wanafuata upepo niko na ushahidi wa watu kama hawa wakati wa uchaguzi ule wa mwaka 2010 katika kituo cha kupigia kura wanasema oooh mie niliambiwa ukiona tu alama ya Jembe naa Nyundo basi hapo hapo chagua yaani huwezi amini kuna mama mmoja mrembo na lakini pia darasa shida so 100% HAWAJITAAMBUI.
 
[
---------- kanga, sabuni na chumvi, hata nyumba wanzoishi ni za tembe na hawana chakula hata midomo yao inatoa vumbi....
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg

Bora kukaa kwa amani kuliko kuzusha vurugu zisizo na maana kmkudai Ukpmbozi, Maandamano, kuingia Ikulu
hayo ndio unayoyataka?
9k=
 
Namshukuru sana Mungu kijiji nilikotoka mimi hakuna wa namna hiyo wote akina baba na akina mama wanajielewa na wajitambua vema hakuna anayeshabikia Chama Cha Mizigo!! Hao wanaonekana hawajitambui kabisa
 
Aliyepost picha hii anayo matatizo ya mtindio wa ubongo,maana nyingine ni taahira-kama hukupata wazazi au walezi wa kuheshimu,basi heshimu wazai wa wenzako,siasa zako za kijinga zisikufanye uchukue picha za hawa mama wa watu(bibi) bila aibu uje kuwaleta katika mjadala ndani ya jf,tafuta watu wa rika lako,kufanyia ujinga huu,una laana ya malezi toka utotoni mwako-shame on you!!
 
Tualemishe kuwa hicho chama cha kuwanyonya maskini km wao'uko vijijini haelewi km hawa kupe wanawatimia
 
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?

Huu ndiyo mtaji wa CCM, wanatoa meno kwa kanga moja huku wenzao wakichukua kura zao na kwenda kula posho ya 300,000 kwa cku bungeni. Sialaumu maana ujinga kama strategy ya CCM ndio kimewafanya wawe hivyo. Poleni bibi zangu
 
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?

hao vikongwe wangejua kwamba hata hayo MAPENGO waliyonayo yamesababishwa na CCM hasa kutokana kushindwa kuwawezesha kununua hata DAWA YA MENO , WASINGETHUBUTU KUJIANIKA KICHOVU NAMNA HIYO , POOR WAMAMA ! MMEVUNA HIZO KANGA MLIZOPANDA !
 
Waheshimu baba na mama yako upate baraka na heri nyingi duniani. Tatizo lenu nyie peoples ni wahuni na walaaniwa msioheshimu watu wazima.
 
Back
Top Bottom