Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

Wewe bibi yako anaelimu acha ulimbukeni na elimu yako ya kwenye makaratasi tukikuuliza hiyo elimu yako imelisaidia nini taifa la tz hakuna lolote zaidi ya kunywa viroba na kufanya fujo!
Yaani moja kwa moja hawana hata darasa la kwanza ni kwamba hawajaenda shule kabisa ndio maana wanashabikia Chama kifu kwa kupewa vikombe vya chumvi na 2000Tsh.Kuhusu bibi yangu yeye kusema kweli kasoma hadi darasa la NANE wakati huo ilikuwa MIDDLE SCHOOL ndio maana hadanganyiki na kama ujuavyo for if you wanna to compare darasa la nane la zamani ni kama FORM SIX YA SASA hope nimekujibu swali lako bila chenga na sio kama najifanya huo ndio ukweli kama hutaji KAANDAMANE
 
wazee wasubiri kufa by Nape, kama wazee ndo wanachama wa CCM basi wanaposubiri kufa CCM pia inasubiri kufa nao
 
hao ukiwauliza "utasikia ccm ndio iliyotulea mpaka tumefikia hapa" yani wao wanaona ccm imeshamaliza kila kitu hapo..
baada ya siku 2
"baba nani mwenzio cjafungua kinywa tangu asubuh"
some time unatamani kulikung'uta sema ndio mweye nyumba....
 
Kwi! Kwi! Kwiiii!!!
 
Ccm chama makini kinachothamini wazee

Dah safari ni ndefu aisee!!!!!!!!!! Wale wazee wastaafu wa EAC mlishindwa kuwajali hadi wakaamua kulala barabarani, ndo mtakuja kuwajali hawa vibogoyo!!!???
 
Dah safari ni ndefu aisee!!!!!!!!!! Wale wazee wastaafu wa EAC mlishindwa kuwajali hadi wakaamua kulala barabarani, ndo mtakuja kuwajali hawa vibogoyo!!!???

kwani mafao wanayodai yana thamani ya kanga na ubwabwa ?
 
conservatives ni kama 3.14 haibadiliki, imewatoa mbali sana... hamjui tu nyie vijana wa sasa, wazee wa kesho
 
Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?

Ninyi nanyi ...! wasisherekee mwali kupata bwana kisa wamejitandika mtandio/kanga zenye rangi za chama fulani...!?

Acheni kudharau Bibi zetu kisa ninyi mmesoma...ebo. Na kuhakikishia waweza kukuta bibi hawa wameelimika kuliko wasomi wetu wa siku hizi.
 
Back
Top Bottom