Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

Shindaneni kwa sera sio kutukana hawa vikongwe ambao naamini hawapo humu jf kujibu mashambulizi yenu! Shallow minds!
 
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?

hahahha hii picha inaonyesha wanachama wa mwisho kabisa ccm
 
Bora CCM inawakumbuka kwa Ubwabwa,T shirts, Kanga, Chumvi, pesa nk.

Cha msingi kila mtu anabeba msalaba wake na Maisha yanasonga mbele.

Chadema wanaofaidi ni wazinzi fulani wanabadilisha wanawake..
eti wanashindana kuachana na wake zao kuchukua hawara.

wengine eti mahawara wanawaita wachumba.

Acheni bibi zetu wafurahi..mnataka waende kwenye mikutano yenye fujo kwani wamewaambieni wao ni mabondia..
ili uwe chadema lazima uwe mtu wa shari asiyetumia akili yake ipasavyo na ikiwezekana unywe gongo na kuvuta bangi ili ujiweke tiyari kwa fujo zisizo na tija...

ujinga mwingine ! Sasa hapo Chadema inaingiaje katika huu uzi ?

Watu hampati usingizi na chadema kila mara mnajaziba na chadema
 
Ni matokeo ya laana toka ktk viungo vya uzazi vya mama zao.ndio maana wanatumia makalio kufikiri badlaya ya kichwa.
Ona dhiki zilivyo waandama!!! Na ukiwaangalia vizuri hao ni kinamama wa mika kam 48 hivi sio wazee.
Wakimaliza mkutano wao kanga na tshit wanarudisha kwenye mabegi kwan ni nguo za kutokea.
 
Watu hap hawajui kinchoendelea tz, wanafurahi kwa Sababu ya Upande WA kanga waliopewa wangejui gharama use hata sh 3000 haifiki wasingekenea memo hivyo. Hapo walipo hawajui watakula mini, maji ya kunywa wanatumia marambo, Hulu viongozi WA sisiemu wanabadilisha magari ya kifahari kila kukicha. Watu hawa wanapaswa kusamehewa.
 
Hongera sana kwa kulitambua hilo. Si kama hizi saccos ambazo wengine ndo hupata sababu za kujipatia mahawara wa chee
Haya matusi yako kwa vijana wapiga kura ni kauli rasmi ya chama chako cha ccm
 
Khaa!! Angalau hapo wako salama hawawezi kulipuliwa ili chama kipate kura za huruma
 
Nyie CHADOMO mmevurugwa!Ina maana wapigakura wenu hamna wazee kama hawa?Hata makwenu hamna wazee kama hawa?Kuwen na heshima basi!Huyu alieweka picha hii hana akili timamu.
 
Hawajaenda shule Hawa!!! Ila Kiwango chao cha kuelimika in cha juu sana ukilinganisha na waliobeba mizigo ya degree vichwani.
Na ndio maana kila mwezi wa 12 wenye degree zao huku wakiwa hawajaelimika wanaenda kupata elimu kwa Hawa.
 
Back
Top Bottom