Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

hao vikongwe wangejua kwamba hata hayo MAPENGO waliyonayo yamesababishwa na CCM hasa kutokana kushindwa kuwawezesha kununua hata DAWA YA MENO , WASINGETHUBUTU KUJIANIKA KICHOVU NAMNA HIYO , POOR WAMAMA ! MMEVUNA HIZO KANGA MLIZOPANDA !

Sidhani kama ni busara kuwatukana wazazi au bibi wenzio kisa siasa. Ebu kuwa na heshima kidogo kwa watu wazima. Kama sio wewe basi bibi/babu/baba/mama/shangazi yako wamepitia/ni wanaccm. So ebu wacha mbofumbofu
 
Bila kumung'unya maneno, hao hapo kwenye picha wameletwa kwa fuso kutoka mbali. Mwaliko wao kadi ni hiyo khanga na hiyo tshirt ya yello. Wangeangaliwa miguuni, hao hawana hata yeboyebo.
Nilipomsikiliza msemaji au huyo mwenye kuhutubia nilisikia akisema. Sasa tumemaliza na wazee wangu mmekaa sana hapa, najua mmetoka mbali na mna njaa. Pale mbele palee chini ya mbuyu kuna pilau na nyama pori ya tembo. Mkimaliza kula mtarudishwa kwenu na kila mmoja atapewa buku 2 ila nawaapisha msipokichagua hiki chama mtalaaniwa kwa kula bila kukichagua chama chenu.
Siisiieem Oyee. Wakapiga kelele; Oyeeee. Ndipo nikawapiga hii picha. nawasilisha

Na magari ya kuwaridisha makwenu yamepaki hapo nyuma jirani na Nape anapocheza ngoma kwa umahiri mkubwa. Panda lilelile ulilokuja nalo. Kidumu chama chetuu!!!
ImageUploadedByJamiiForums1389713201.676015.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1389713380.926276.jpg

Ila wale wanaotaka Disco "vumbi" leo tutakesha hapa na mgeni Rasmi ni mheshimiwa Mbunge Ka- puyanga
ImageUploadedByJamiiForums1389713698.546816.jpg
 
Wanafurahia kuambiwa Jumatatu hakuna kazi wakati wenyewe hata shamba hawana.
 
Bila chenga hawajitambui wapo wapo tu na wengi wao Darasa hakuna ndio maana wanafuata upepo niko na ushahidi wa watu kama hawa wakati wa uchaguzi ule wa mwaka 2010 katika kituo cha kupigia kura wanasema oooh mie niliambiwa ukiona tu alama ya Jembe naa Nyundo basi hapo hapo chagua yaani huwezi amini kuna mama mmoja mrembo na lakini pia darasa shida so 100% HAWAJITAAMBUI.

Wewe bibi yako anaelimu acha ulimbukeni na elimu yako ya kwenye makaratasi tukikuuliza hiyo elimu yako imelisaidia nini taifa la tz hakuna lolote zaidi ya kunywa viroba na kufanya fujo!
 
Huwaambii kitu hawa. Takrima ya khanga na T-shirt ni ulaghai tosha kwa watu kama hawa!!
 
Sidhani kama ni busara kuwatukana wazazi au bibi wenzio kisa siasa. Ebu kuwa na heshima kidogo kwa watu wazima. Kama sio wewe basi bibi/babu/baba/mama/shangazi yako wamepitia/ni wanaccm. So ebu wacha mbofumbofu

mahindi hayawezi kuitwa mchele , hata cdm kuna wazee na uzee haujawahi kuwa kinga , kwahiyo ukifanya ujinga utashughulikiwa bila kujali umri wako .
 
Wewe bibi yako anaelimu acha ulimbukeni na elimu yako ya kwenye makaratasi tukikuuliza hiyo elimu yako imelisaidia nini taifa la tz hakuna lolote zaidi ya kunywa viroba na kufanya fujo!

sasa hao wamama zaidi ya kutuwekea chama chakavu wametusaidia nini ?
 
kwa sisi tunaoishi kijijini tunayaona haya kila siku

msiyaangalie tu hayo mjomba , waelimisheni kwamba kanga ni rahisi kuliko umeme wa wiki moja , ama kanga ni rahisi kuliko kukopwa mazao yao kwa mwaka mzima .
 
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?
Huu ni mkumbo bro. Wazee wakifikia umri huu uwezo wao wa kufikiri hupungua sana. Ukimwambia akupe shahada yake
ya kupigia kura ili umpe kikombe cha pombe inayonywewa sehemu hiyo, atakubali haraka sana tena anaenda kuwaleta wengine ili kuwe na kundi la kwenda kilabuni. Wazee hawa ndo mtaji mkubwa wa maccm!
 
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?

Mwisho wa siku ni kuwa wamepewa khanga za kujitanda na msosi baada ya mkutano. Hawana makuu, ila vijana wameshashutukia maFisisiemu na sasa wakileta misosi watu wanakula, wanapelekwa makwao na fuso lakini mwisho wa siku kura hawawapi mafisisiem.
 
hawa ndiyo wako wengi tz na ndiyo wapiga kura wenyewe..wanatunza kadi zao na wanasubiri siku ya kupiga kura wanapigia chama chao CCM tofauti na wale mashabiki wa mijini wa CDM siku ya kupiga kura wengi hawaonekani
 
Back
Top Bottom