Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
203
Reaction score
100
1554364_591839254230755_1557013582_n.jpg



Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?
 
Usikute toka asubuhi hawajatia kitu kinywani wao ni kunyoosha mikono juu
 
wamefuata ubwabwa, tishirt na kanga, hawajui shida zinazowakabili sio ubwabwa wa siku moja au tshirt, kanga na kofia.
 
Hao wanajua Rais wa Tanzania bado ni Nyerere! Ujinga mtaji mkubwa kwa Magamba
 
maisha duni kwa kila mwanamke,kilemba na kanga ya kijani na njano ndo kipimo cha maisha bora
 
Wamejikwaa wakipanda fuso la kwenda mikutano ya ssssssm @mwigul!
 
Wa kung'oa kuja ni usalama wa taifa ww ndo kz yao nani asiyewajua? Khanga na kitenda ndo janja yenu
 
Back
Top Bottom