Poleni na mihangaiko ya kila siku huku mkiendelea kuchukua tahadhali ya kujikinga na corona sweet.
Kwa leo ningependa kuuliza
What's your opinion on dating a friend's ex?
Guys ,is it Wrong?
Is it Ok?
Or it depends?
Una maoni yapi kuhusu kutoka na mtalaka wa rafiki yako?
Wanajopo, hii kitu ni makosa ya kiufundi ?
Ni sawa tu ?
Au inategemea na hali nyingine ?
Mimi binafsi niliwahi kumnyandua ex wa my best friend. Ila mwishowe ilibidi nichague kuwa na urafiki na jamaa au kuendelea ku date yule msichana.
Nikachagua kuachana na yule manzi baada ya kunyanduana lakini.
What is your take on this ?