Unaweza kudate na EX wa rafiki yako?

Unaweza kudate na EX wa rafiki yako?

Poleni na mihangaiko ya kila siku huku mkiendelea kuchukua tahadhali ya kujikinga na corona sweet.

Kwa leo ningependa kuuliza

What's your opinion on dating a friend's ex?
Guys ,is it Wrong?
Is it Ok?
Or it depends?

Una maoni yapi kuhusu kutoka na mtalaka wa rafiki yako?
Wanajopo, hii kitu ni makosa ya kiufundi ?
Ni sawa tu ?
Au inategemea na hali nyingine ?

Mimi binafsi niliwahi kumnyandua ex wa my best friend. Ila mwishowe ilibidi nichague kuwa na urafiki na jamaa au kuendelea ku date yule msichana.
Nikachagua kuachana na yule manzi baada ya kunyanduana lakini.

What is your take on this ?
Huo sio urafiki sasa, ni usaliti wa urafiki. Ndio maana wengine wanadate na wake walioachwa na baba zao kisa sio mama zao wa kuwazaa. Ni uchafu na usaliti na ujinga na ufisadi na kutokomaa kwa hali ya juu. Mwenye dunia yake na mbingu zake, amekataa hizi tabia, Mungu Mwenyezi.
 
Wee kweli una tabia za kimama habababa
Sasa una maindi nini jamaa kugegeda dada yako kwani ungemgegeda wewe
Kiukweli sio jambo jema kurukia dada wa rafiki yako. Kiuhalisia nyie ni ndugu na mnasaidiana kwa hali na mali. Bora huyo rafiki aseme amebadiri gia angani ameamua kumuoa dada hapo inaingia akilini.

Kama kaweza kwa sister akili ikimruka si ataenda kwa Bi Mkubwa. Mipaka ni muhimu.
 
Ase kuna mwana amenishangaza sana demu wamchizi tena wakat yupo kwenye mahusiano na huyo rafiki yetu alikua anadirki kusema huyu demu mi simpend malaya kwel yaan ananiboa kweli jamaa akaja akaachana na yule demu kwa mauogomv yao mengine tu,
Mshikaj si akaanza kupiga yule demu tena kafungia ndani kabsa mpaka sasa amemzalisha mtoto mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie naona tunamitazamo tofauti ya rafiki ni mtu wa namna gani kwa sababu rafiki hawezi kamwe kumtongoza bimkubwa wako
Na ata kama akimtongoza na bi mkubwa wako nae atakuwa mpuuzi akikubali kugegedwa na huyo rafiki yako.

Tena mie ningekuwa na dada mara mia adate rafiki yangu maana nitakuwa najua tabia za rafiki yangu.
 
Huo sio urafiki sasa, ni usaliti wa urafiki. Ndio maana wengine wanadate na wake walioachwa na baba zao kisa sio mama zao wa kuwazaa. Ni uchafu na usaliti na ujinga na ufisadi na kutokomaa kwa hali ya juu. Mwenye dunia yake na mbingu zake, amekataa hizi tabia, Mungu Mwenyezi.
Tunajitahidi kuziacha
 
Kiukweli sio jambo jema kurukia dada wa rafiki yako. Kiuhalisia nyie ni ndugu na mnasaidiana kwa hali na mali. Bora huyo rafiki aseme amebadiri gia angani ameamua kumuoa dada hapo inaingia akilini.

Kama kaweza kwa sister akili ikimruka si ataenda kwa Bi Mkubwa. Mipaka ni muhimu.
What about kumchakata dada wa boss wako ?
 
Ase kuna mwana amenishangaza sana demu wamchizi tena wakat yupo kwenye mahusiano na huyo rafiki yetu alikua anadirki kusema huyu demu mi simpend malaya kwel yaan ananiboa kweli jamaa akaja akaachana na yule demu kwa mauogomv yao mengine tu,
Mshikaj si akaanza kupiga yule demu tena kafungia ndani kabsa mpaka sasa amemzalisha mtoto mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uanaume
 
Back
Top Bottom