Doh Kuna rafiki yangu wa karibu tulioshibana adi home anakuja baadae akamla Dadaangu WA tumbo moja, namim nikalipiza nikawala dada zake wote nikamaliza na mke wake, mke wake ndio tulidumu kwa Muda mref ad nikampa ujauzito. [emoji20]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukandamizi jinsiaMimi niligonga binamu wangu nikataka kuamishia kwa dada yake tumbo moja bahati mbaya akastukia mchezo nikapiga chini wote
Haipendezi hata kidogo. Maana itaonekana kama huyu rafiki ana mchango katika kuvunjika kwa mahusiano yenu.Kwani mtu mkiachana si maana yake mkataba wenu umekufa
Kuna ubaya gani akisaini na rafiki yako mkataba mpya ?
Si ndio hapo. Ila shem akiwa mzuri unamla hata mara moja tuuuHaipendezi hata kidogo. Maana itaonekana kama huyu rafiki ana mchango katika kuvunjika kwa mahusiano yenu.
I am smart afam sure u knw the meaning of friend ( URAFIKI) ndio maana ulikula ukabwaga kimya kimya.......be smart
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]Manzi moja alikuwa akiliwa na mshikaji wangu tukiwa kidato, sasa ni miaka imepita na walishamalizana.... mshkaji ni yule rafiki yangu kweli na ameoa ana maisha yake.
Sasa manzi bado yupo tu na ni binti mwenye sifa za mke, kuna kipindi niliwahi kuwaza kumuoa na yupo tayari.
Ila nishawahi kumla, wa kuoa nitakuwa mimi.!!
Huwa una flirt nao ?Binafsi Mimi huwa nawakinai wanawake wenye mahusiano na watu wangu wa karibu na nilishajiwekea misingi ya kuwaheshim hata kama wataachana sitaweza kumsogelea x wa mtu wangu wa karibu
GunFire
Unajaribu kuhalalisha nini ?
So dating wont hury your friend ?