Paul Buchira
R I P
- Aug 5, 2013
- 1,043
- 566
Unacheka sio vibayo hivyo unanifanyiaHahahaahhahah
Unacheka sio vibayo hivyo unanifanyiaHahahaahhahah
[Verse 1]Huo mstari ulikua unasemaje hshaha s
Nikumbushe basi!
Ahahahahahahahahahah aiseeeee sikuona hii mbona hukuniita nikachekaaa nani alianzisha uzi huo wewe nini[Verse 1]
Nataka nitoke kwenye Jamii Forum
Niuze sura!
Niseme ninatoka na Nifah …
Kitandani kwisha na FaizaFoxy
Ama Jimena Nilete matata mpaka kwa Heaven Sent
Kwenye redio zote, mpaka runinga
Nitangaze kwa kuvimba
Kwamba Miss Neddy anayangu mimba
Au niwatukane wote Makapuku
Kwa dharau na kuvimba Mpaka yule anajiita asigwa !
Niseme miss chagga katetema
Akiniona anashindwa hata kuhema
Au cute b kanena ananitaka na ibra87
atatemwa
Nataka nifanye sinema Kwa alozaa na mito , King'asti
Kiki ipi iko njema, au niende kwa Sky Eclat ?
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje? Mwenzenu ntokeje?
[Verse 2]
aaaaa aaaa eeee
Nasikia @Lara1 mkali, wanasemaga Valentina
asali
Dinazarde atakubali akimwage ki Nyani Ngabu chali
Ninatafakari, kichwani maswali
Nimtongoze atoto , akijua Kaboom si hatari?
Ee-hee, Preta , badiebey pia hadi na Evelyn
Salt
The Boss asije ninunia kwa brenda18 lawama jingalao , @Lizabon Salami leaders nizushe pesa
wamenipiga
mshana jr na MziziMkavu wasije niroga
Iyowee!
Nataka nibadili ratiba, kwangu isije leta msiba
Nitoke Makapuku niende kwa Le mutuz. Yoooo
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje? [Outro]
Nataka nifanye masekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere (Sekere oh sekere)
Yaani Bongo nzima makelele
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere (Sekere oh sekere)
Iih! Nikinukishe kinoma noma
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere (Sekere oh sekere)
Iih! Macho kuvimba wataisoma
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
Ta ntira rara
Ahahahahahahahahahah aiseeeee sikuona hii mbona hukuniita nikachekaaa nani alianzisha uzi huo wewe nini
mwabeja sana ujacheka kama mimi
Nakwambia jf mh hatariii sanaHahahahahahahahah
Nawaza yule jamaa niliyemporaga demu wake bora ningemuachia zigo lake, kwa maana lilikuja kunipa mateso sana huko mbeleni.

Mtaota sana Tuachane ila mimi na Daby hatuachan ng'oo
Mie nawaza siku moja yule niliyempenda kipindi kilee akitokea Mbele yangu saa hiz ambapo nimeji commit kwa mwingine sijui itakuwaje,any way najua ntakosa ujasiri ila haimaanishi ntamsaliti niliyenae Mungu aliamua iwe vile R.I.P kassim ulikua wangu wa kulala na kuamka,kufanyakaz,kula na kutembea ila M/Mungu hakupenda tufike mwisho wa uzeeHapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani?unawaza kufanya nini,?ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike ,ufurahi!!
Mim ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninaempenda ,sehemu iliyotulia anishike mkono tutembee wote ,anikiss kiss yaan nione dunia yangu ,anishike kiuno ,anibebe anione kama malkia
Unajua kuna watu ukikutana nao hujuti au ukiwa nao hujuti kabisa anakupa raha mwanzo mwisho,lakin kuna mwingine unaweza ujute hata kwanini umeonana nae ama nene
Basi mi nafikiria vitu vizuri vizuri tu au ningekua sehemu nakula bata na samsun Complex shunie ICHANA Nyani Ngabu na wengineo wengiii hata wale wapekuzi au mapaparazi wa kujitegemea ningependa muwepo tu ili mtupige picha hivi na kutuwekea kumbukumbu au sio
Basi tu ndio navyofikiria hivii acha nilale tu mie
View attachment 402191 ujumbe wa usiku huu
Pole my dia,Mie nawaza siku moja yule niliyempenda kipindi kilee akitokea Mbele yangu saa hiz ambapo nimeji commit kwa mwingine sijui itakuwaje,any way najua ntakosa ujasiri ila haimaanishi ntamsaliti niliyenae Mungu aliamua iwe vile R.I.P kassim ulikua wangu wa kulala na kuamka,kufanyakaz,kula na kutembea ila M/Mungu hakupenda tufike mwisho wa uzee
Asante mama, huwa siachi kumfikiria hata nipewe Dunia I will keep thinking on himPole my dia,

Mie nawaza siku moja yule niliyempenda kipindi kilee akitokea Mbele yangu saa hiz ambapo nimeji commit kwa mwingine sijui itakuwaje,any way najua ntakosa ujasiri ila haimaanishi ntamsaliti niliyenae Mungu aliamua iwe vile R.I.P kassim ulikua wangu wa kulala na kuamka,kufanyakaz,kula na kutembea ila M/Mungu hakupenda tufike mwisho wa uzee
Asante! Ni miaka mi 4 sasa nashukuruPole sana, wenzako wao hawajafa na wanashindana kusaliti..... Ila inauma sana kufiwa na mpenzi
Usijali yakitokea mengine nitakutag,Jamani looo sikuuona uwe unanitag bana niwekee basi link ya huo uzi nimeutafuta nimeukosa
Basi nishauona